Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
Sisi kuwapiga mkono wa nyani waarabu hatutaki sisi tulikuwa tunataka kumpiga mkono wa nyani yule Mbumbumbu FC inatosha.Ila tungepeleka juhudi kwenye kubuni mbinu za kumpiga mkono wa nyani mwarabu ungefanya la maana kuliko kufanya huu ujinga wa kupaka bleach kama mashangazi wa Kinondoni.
Urembo mwingine ni kijidharirisha tu 😂
Ila kupaka bleach kama Kajala ex wa Konde boy mwataka 😂😂Sisi kuwapiga mkono wa nyani waarabu hatutaki
kama ipo ipo tu. kuliko kukosa vyote. wacha watu wakipige kipacome 😂😂, waenjoy life.Ila kupaka bleach kama Kajala ex wa Konde boy mwataka 😂😂
Wananchi akili itakaa sawa lini?
Mwarabu kaja kuchukua point 3, halafu nyie mmekomaa na bleach kama mashangazi ya kino 😂
uzuri sisi wananchi hatujali wala nini madam tumefanya kitu unique!Ila tukifungwa hizi picha ndo zitatumika na wale ndugu zetu wa 5G kutusimangia
mwarabu kupigwa kono la nyani sio kazi yako ni kazi ya viongozi kocha na wachezaji,sisi mashabiki yetu ndo hayo ya pacome dayIla tungepeleka juhudi kwenye kubuni mbinu za kumpiga mkono wa nyani mwarabu ungefanya la maana kuliko kufanya huu ujinga wa kupaka bleach kama mashangazi wa Kinondoni.
Urembo mwingine ni kijidharirisha tu 😂
Haya ni matambiko by Mpili mkurugenzi wa benchi la ufundi wa MAJINI FCSiku zikiwa zimetaradadi kuelekea mechi ya Yanga na CR ambayo sisi kama wana Yanga tumeamua kuuita PACOME DAY" Kitaalamu zaidi", ewe mwananchi tupia picha za maandalizi ya siku hii muhimu ikiwa kama njia ya kuanza kuhamasishana kuujaza uwanja.
Kumbuka: Kulikuwa na Kibu DAY katika tarehe 5imba/11/2023. Ewe guvumoya a.k.a tatu Malogo FC kaa mbali na PACOME DAY kwani mlikandwa 5, wakati wa Kibu DAY.
View attachment 2912406View attachment 2912407View attachment 2912408
Au acha tu nije, nimekumbuka Kuna kugongewaNipo Kwa mkapa tayariiiii, mke wangu niagizie chakula leo sirudi nyumbani.
Pacome Day, Bleach Day.Siku zikiwa zimetaradadi kuelekea mechi ya Yanga na CR ambayo sisi kama wana Yanga tumeamua kuuita PACOME DAY" Kitaalamu zaidi", ewe mwananchi tupia picha za maandalizi ya siku hii muhimu ikiwa kama njia ya kuanza kuhamasishana kuujaza uwanja.
Kumbuka: Kulikuwa na Kibu DAY katika tarehe 5imba/11/2023. Ewe guvumoya a.k.a tatu Malogo FC kaa mbali na PACOME DAY kwani mlikandwa 5, wakati wa Kibu DAY.
View attachment 2912406View attachment 2912407View attachment 2912408