Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Aziz Ki day itabidi mjipake tomato sauces midomoni!Siku zikiwa zimetaradadi kuelekea mechi ya Yanga na CR ambayo sisi kama wana Yanga tumeamua kuuita PACOME DAY" Kitaalamu zaidi", ewe mwananchi tupia picha za maandalizi ya siku hii muhimu ikiwa kama njia ya kuanza kuhamasishana kuujaza uwanja.
Kumbuka: Kulikuwa na Kibu DAY katika tarehe 5imba/11/2023. Ewe guvumoya a.k.a tatu Malogo FC kaa mbali na PACOME DAY kwani mlikandwa 5, wakati wa Kibu DAY.
View attachment 2912406View attachment 2912407View attachment 2912408