Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaongea kwa kuwa mnamuona Mkapa ila Wa Ivory Coast kwenye mpira wamefanya mengi sana hao sip kwa kuwa unamuona Yanga basi unamletea dharau...huyo ni umri ndio maana yupo Afrika ila kwao kucheza Ulaya ni kama wa Kariakoo kwenda Kigamboni...Hiyo inakuja baada ya wachezaji tegemeo katika hiyo nafasi kugoma
Pakome ni Mkatolikikabla ya kuanza mazoezi wanafanya kwanza Dua mwezi huu mtukufu.
Kwani ni uongo Mkuu?Mnaongea kwa kuwa mnamuona Mkapa ila Wa Ivory Coast kwenye mpira wamefanya mengi sana hao sip kwa kuwa unamuona Yanga basi unamletea dharau...huyo ni umri ndio maana yupo Afrika ila kwao kucheza Ulaya ni kama wa Kariakoo kwenda Kigamboni...
Comrade, jitahidi upunguze manung'uniko na chuki. Kwenye kikosi cha awali cha Afcon aliitwa! Kuitwa tu kwenye timu ya Taifa ya Ivory Coast yenye mastaa waliotapakaa ulaya kote, siyo jambo jepesi!Kwani ni uongo Mkuu?
Hivi Pacome angeitwa kwenye timu ya taifa kama ingekuwa ni mechi ya muhimu?
Umefafanua vizuriComrade, jitahidi upunguze manung'uniko na chuki. Kwenye kikosi cha awali cha Afcon aliitwa! Kuitwa tu kwenye timu ya Taifa ya Ivory Coast yenye mastaa waliotapakaa ulaya kote, siyo jambo jepesi!
Au umesahau hata kwenye timu yenu ya simba mna mchezaji raia wa Ivory Coast? Je, aliwahi kuitwa hata kwenye kikosi cha mchujo kama Pacome?
Sikatai kuwa tuna mchezaji wa Ivory Coast na wala ukiniambia kuwa hana uwezo wa kupambania namba kwenye kikosi cha timu ya taifa siwezi kukupinga au kukuona hater wakati ni ukweli.Comrade, jitahidi upunguze manung'uniko na chuki. Kwenye kikosi cha awali cha Afcon aliitwa! Kuitwa tu kwenye timu ya Taifa ya Ivory Coast yenye mastaa waliotapakaa ulaya kote, siyo jambo jepesi!
Au umesahau hata kwenye timu yenu ya simba mna mchezaji raia wa Ivory Coast? Je, aliwahi kuitwa hata kwenye kikosi cha mchujo kama Pacome?
Ukiweza Mkuu uwe unaangalia Wachezaji wa Ivorian walivyo kama nyuki Ulaya harafu unaona wanamuita mchezaji kutoka ligi yetu pana kitu unatakiwa ukague hapo...Kwani ni uongo Mkuu?
Hivi Pacome angeitwa kwenye timu ya taifa kama ingekuwa ni mechi ya muhimu?
Ndio maana unaona hilo linafanyika ikiwa hao wa Ulaya wengi wamegoma kutokana na mechi isibyokuwa ya muhimu.Ukiweza Mkuu uwe unaangalia Wachezaji wa Ivorian walivyo kama nyuki Ulaya harafu unaona wanamuita mchezaji kutoka ligi yetu pana kitu unatakiwa ukague hapo...
Mkuu mpira unakusumbua sana Madrid imetoa wachezaji wake wote kupeleka kwenye hizi mechi hao Uruguay wanaocheza na Ivory wameita karibu kikosi chao kile kile angalia kikosi cha Brasil kitakachocheza na England pamoja na Spain hizi mechi zinatumika na FIFA kwenye rankings pia usiongee kwa kusikia watu wengi wakiongea Scars upo vizuri jaribu kujiongeza bhana...Ndio maana unaona hilo linafanyika ikiwa hao wa Ulaya wengi wamegoma kutokana na mechi isibyokuwa ya muhimu.
Ni kama Samatta tu alivyokataa kujumuishwa kwenye kikosi.
Kwa Diara kipindi anapiga benchi Mali nation team Makolo mlikuwa na maneno kama hayo,kuwa hawezi kuanza mala hivi na vile.Sikatai kuwa tuna mchezaji wa Ivory Coast na wala ukiniambia kuwa hana uwezo wa kupambania namba kwenye kikosi cha timu ya taifa siwezi kukupinga au kukuona hater wakati ni ukweli.
Lazima tukubali kuwa Pacome ameitwa kwasababu sio mechi muhimu. Ingekuwa mechi muhimu asingeitwa huo ni ukweli.
Labda usome hapa chini mwenyeweMkuu mpira unakusumbua sana Madrid imetoa wachezaji wake wote kupeleka kwenye hizi mechi hao Uruguay wanaocheza na Ivory wameita karibu kikosi chao kile kile angalia kikosi cha Brasil kitakachocheza na England pamoja na Spain hizi mechi zinatumika na FIFA kwenye rankings pia usiongee kwa kusikia watu wengi wakiongea Scars upo vizuri jaribu kujiongeza bhana...
Rank ya Mali na Ivory Coast sio sawaKwa Diara kipindi anapiga benchi Mali nation team Makolo mlikuwa na maneno kama hayo,kuwa hawezi kuanza mala hivi na vile.
Sema Simba mna shida sana. Mbona Kanoute yule tangu aje simba hajawai kabisa kukanyaga team ya taifa. Kupata priviledge ya kuchezea Ivory coast au Mali inahitaji kipaji kikubwa sana hata kama unaitiwa mechi ndogo.Sikatai kuwa tuna mchezaji wa Ivory Coast na wala ukiniambia kuwa hana uwezo wa kupambania namba kwenye kikosi cha timu ya taifa siwezi kukupinga au kukuona hater wakati ni ukweli.
Lazima tukubali kuwa Pacome ameitwa kwasababu sio mechi muhimu. Ingekuwa mechi muhimu asingeitwa huo ni ukweli.
Akikujibu nitag pleaseComrade, jitahidi upunguze manung'uniko na chuki. Kwenye kikosi cha awali cha Afcon aliitwa! Kuitwa tu kwenye timu ya Taifa ya Ivory Coast yenye mastaa waliotapakaa ulaya kote, siyo jambo jepesi!
Au umesahau hata kwenye timu yenu ya simba mna mchezaji raia wa Ivory Coast? Je, aliwahi kuitwa hata kwenye kikosi cha mchujo kama Pacome?
Mkuu sijajuelewa hoja yako ni nini maana hiyo taarifa ilikuja kwa kifaransa na hao wametafsiri vile vile ndio Sangare katoa taarifa majeruhi kwa uwezo wako unadhani Pacome hawezi kuchezea Ivory Coast au mbona ina wachezaji wa kawaida sana sema wengi wana connection ya nje kutokana na historia yao nzuri kwenye mpira...hiki sio kikosi bora cha kusema Pacome pale wa kawaida wakati wapo wengi wa kawaida tu...Labda usome hapa chini mwenyewe View attachment 2941116
Sio lazima iwe Ivory Coast, ilikuwa Senegal mwaka mmoja uliopita mabapo Sakho aliitwa kwenye kikosi, sio kwenye mchujoComrade, jitahidi upunguze manung'uniko na chuki. Kwenye kikosi cha awali cha Afcon aliitwa! Kuitwa tu kwenye timu ya Taifa ya Ivory Coast yenye mastaa waliotapakaa ulaya kote, siyo jambo jepesi!
Au umesahau hata kwenye timu yenu ya simba mna mchezaji raia wa Ivory Coast? Je, aliwahi kuitwa hata kwenye kikosi cha mchujo kama Pacome?