Pacome yupo tayari kuwakabili Uruguay

Pacome yupo tayari kuwakabili Uruguay

Sema Simba mna shida sana. Mbona Kanoute yule tangu aje simba hajawai kabisa kukanyaga team ya taifa. Kupata priviledge ya kuchezea Ivory coast au Mali inahitaji kipaji kikubwa sana hata kama unaitiwa mechi ndogo.
Nani amebisha kuwa Kanoute hajaitwa national team?
 
Mkuu sijajuelewa hoja yako ni nini maana hiyo taarifa ilikuja kwa kifaransa na hao wametafsiri vile vile ndio Sangare katoa taarifa majeruhi kwa uwezo wako unadhani Pacome hawezi kuchezea Ivory Coast au mbona ina wachezaji wa kawaida sana sema wengi wana connection ya nje kutokana na historia yao nzuri kwenye mpira...hiki sio kikosi bora cha kusema Pacome pale wa kawaida wakati wapo wengi wa kawaida tu...
Hivi karne hii tuliyopo saizi unaona ni rahisi sana kwa jarida kama hilo kulitilia shaka taarifa yake kwa hoja ya kusema taarifa rasmi ilitolewa kwa kifaransa?

Kwamba hilo jarida lilishindwa ku translate kifaransa?

Uwezekano wa Pacome kucheza national team upo na ndio maana ameitwa.

Lakini kaitwa kwenye mechi gani na kwanini kuitwa kwake kuwe ni plan B baada ya mchezaji aliyekuwa ana hudumu kwenye hiyo nafasi kupata majeraha?
 
Comrade, jitahidi upunguze manung'uniko na chuki. Kwenye kikosi cha awali cha Afcon aliitwa! Kuitwa tu kwenye timu ya Taifa ya Ivory Coast yenye mastaa waliotapakaa ulaya kote, siyo jambo jepesi!

Au umesahau hata kwenye timu yenu ya simba mna mchezaji raia wa Ivory Coast? Je, aliwahi kuitwa hata kwenye kikosi cha mchujo kama Pacome?
Tayari tulikuwa na Sakho kutoka mabingwa wa. Afrika.
 
Hivi karne hii tuliyopo saizi unaona ni rahisi sana kwa jarida kama hilo kulitilia shaka taarifa yake kwa hoja ya kusema taarifa rasmi ilitolewa kwa kifaransa?

Kwamba hilo jarida lilishindwa ku translate kifaransa?

Uwezekano wa Pacome kucheza national team upo na ndio maana ameitwa.

Lakini kaitwa kwenye mechi gani na kwanini kuitwa kwake kuwe ni plan B baada ya mchezaji aliyekuwa ana hudumu kwenye hiyo nafasi kupata majeraha?
Hawa ndio ivory coast walipoanza vibaya wakaanza kusingizia sababu Pacome hajaitwa Ila walipochukua ubingwa wakapotea Kama barafu za Azam zinavyoyeyuka zikiwekwa kwenye jua.
 
Comrade, jitahidi upunguze manung'uniko na chuki. Kwenye kikosi cha awali cha Afcon aliitwa! Kuitwa tu kwenye timu ya Taifa ya Ivory Coast yenye mastaa waliotapakaa ulaya kote, siyo jambo jepesi!

Au umesahau hata kwenye timu yenu ya simba mna mchezaji raia wa Ivory Coast? Je, aliwahi kuitwa hata kwenye kikosi cha mchujo kama Pacome?
Huyo comrade wako naona ana wivu wa kimbumbumbi
 
Mkuu sijajuelewa hoja yako ni nini maana hiyo taarifa ilikuja kwa kifaransa na hao wametafsiri vile vile ndio Sangare katoa taarifa majeruhi kwa uwezo wako unadhani Pacome hawezi kuchezea Ivory Coast au mbona ina wachezaji wa kawaida sana sema wengi wana connection ya nje kutokana na historia yao nzuri kwenye mpira...hiki sio kikosi bora cha kusema Pacome pale wa kawaida wakati wapo wengi wa kawaida tu...
Achana nae unajichosha tu
 
Ukiweza Mkuu uwe unaangalia Wachezaji wa Ivorian walivyo kama nyuki Ulaya harafu unaona wanamuita mchezaji kutoka ligi yetu pana kitu unatakiwa ukague hapo...
Kijana anajitahidi.
Mimi ni mpenzi wa mchezo wa football,ni shaabiki wa soccer,sishaabikii kabumbu hasa vilabu vya kabumbu ila huwa nikiangalia match zao kuna radha tofautitofauti huyu dogo ana kupa.

Ni funzo kwa vijana wetu ambao wanaabudu riadha za Zengeli badala ya udambwidambwi wa zoazoa wenye options kibao km kufunga, lovely pass,vyenga na ana pumzi ya kutosha.

Angekuwa Mtanganyika Samata na Msuva wangefunga sana magoli pale mbele.
Hata Kibu angefunga sana second ball baada ya goalkeeper kutema mashuti ya huyu dogo.
 
Mkuu mpira unakusumbua sana Madrid imetoa wachezaji wake wote kupeleka kwenye hizi mechi hao Uruguay wanaocheza na Ivory wameita karibu kikosi chao kile kile angalia kikosi cha Brasil kitakachocheza na England pamoja na Spain hizi mechi zinatumika na FIFA kwenye rankings pia usiongee kwa kusikia watu wengi wakiongea Scars upo vizuri jaribu kujiongeza bhana...
Jamaa mahaba ya mpira yamempofusha kabisa sasa akili kidogo mahaba mengi.
Hii iko wazi timu kama Ivory coast Ina wachezaji wengi nje ya bar la Africa tena washindani hasa kitendo Cha Pacome kuitwa tu kwenye kikosi cha awali Cha Ivory coast Ina maanisha wameona kitu kutoka kwake hata kama kwasasa amaenda kuziba pengo la mtu lakin Bado inaonyesha kocha na benchi la ufundi linayo imani kubwa kwake.
Unafikiri hiyo namba anayocheza Pacome ni Ibrahim sangare tu ndio anayocheza Kwa Ivory coast nzima wapo wengi tena vifaa haswa lakin Pacome ni chaguo la pili baada ya ibarhim sangare.
Kwaiyo hata kama ingekua mechi muhimu kama ingetokea ibrahimu kua majeruhi angecheza Pacome Kwa sababu ndio mbadala wake kwa sasa.
 
Hivi karne hii tuliyopo saizi unaona ni rahisi sana kwa jarida kama hilo kulitilia shaka taarifa yake kwa hoja ya kusema taarifa rasmi ilitolewa kwa kifaransa?

Kwamba hilo jarida lilishindwa ku translate kifaransa?

Uwezekano wa Pacome kucheza national team upo na ndio maana ameitwa.

Lakini kaitwa kwenye mechi gani na kwanini kuitwa kwake kuwe ni plan B baada ya mchezaji aliyekuwa ana hudumu kwenye hiyo nafasi kupata majeraha?
Mkuu yule Kiungo wa Tottenham anaechezea Mali kafuta picha zote za Afcon na kaacha kuifata X Shirikisho la Mali baada ya kocha kumuacha kwenye hizi mechi sema kwa nini mnalazimisha kuzungumza vitu kama vipo juu ya uwezo wako watu wa Magharibi wanathamini sana kuchezea Timu zao hata kama mechi itakua haipo kwenye ratiba ya FIFA.
 
Jamaa mahaba ya mpira yamempofusha kabisa sasa akili kidogo mahaba mengi.
Hii iko wazi timu kama Ivory coast Ina wachezaji wengi nje ya bar la Africa tena washindani hasa kitendo Cha Pacome kuitwa tu kwenye kikosi cha awali Cha Ivory coast Ina maanisha wameona kitu kutoka kwake hata kama kwasasa amaenda kuziba pengo la mtu lakin Bado inaonyesha kocha na benchi la ufundi linayo imani kubwa kwake.
Unafikiri hiyo namba anayocheza Pacome ni Ibrahim sangare tu ndio anayocheza Kwa Ivory coast nzima wapo wengi tena vifaa haswa lakin Pacome ni chaguo la pili baada ya ibarhim sangare.
Kwaiyo hata kama ingekua mechi muhimu kama ingetokea ibrahimu kua majeruhi angecheza Pacome Kwa sababu ndio mbadala wake kwa sasa.
Kwanza baada ya kushukuru kuona wao wamethamini ligi yetu kutokana na Timu zetu mbili kufuzu robo fainal inapelekea hata wao kutokua na mashaka sema wengi mpira hawajui kabisaa ila kila kukicha kuanzisha nyuzi za mpira sasa hivi naona ntaaza kuwajibu kukaa kimya inaonekana wote hatujui kitu...
 
Back
Top Bottom