Pacome yupo tayari kuwakabili Uruguay

Sema Simba mna shida sana. Mbona Kanoute yule tangu aje simba hajawai kabisa kukanyaga team ya taifa. Kupata priviledge ya kuchezea Ivory coast au Mali inahitaji kipaji kikubwa sana hata kama unaitiwa mechi ndogo.
Nani amebisha kuwa Kanoute hajaitwa national team?
 
Hivi karne hii tuliyopo saizi unaona ni rahisi sana kwa jarida kama hilo kulitilia shaka taarifa yake kwa hoja ya kusema taarifa rasmi ilitolewa kwa kifaransa?

Kwamba hilo jarida lilishindwa ku translate kifaransa?

Uwezekano wa Pacome kucheza national team upo na ndio maana ameitwa.

Lakini kaitwa kwenye mechi gani na kwanini kuitwa kwake kuwe ni plan B baada ya mchezaji aliyekuwa ana hudumu kwenye hiyo nafasi kupata majeraha?
 
Tayari tulikuwa na Sakho kutoka mabingwa wa. Afrika.
 
Hawa ndio ivory coast walipoanza vibaya wakaanza kusingizia sababu Pacome hajaitwa Ila walipochukua ubingwa wakapotea Kama barafu za Azam zinavyoyeyuka zikiwekwa kwenye jua.
 
Huyo comrade wako naona ana wivu wa kimbumbumbi
 
Achana nae unajichosha tu
 
Ukiweza Mkuu uwe unaangalia Wachezaji wa Ivorian walivyo kama nyuki Ulaya harafu unaona wanamuita mchezaji kutoka ligi yetu pana kitu unatakiwa ukague hapo...
Kijana anajitahidi.
Mimi ni mpenzi wa mchezo wa football,ni shaabiki wa soccer,sishaabikii kabumbu hasa vilabu vya kabumbu ila huwa nikiangalia match zao kuna radha tofautitofauti huyu dogo ana kupa.

Ni funzo kwa vijana wetu ambao wanaabudu riadha za Zengeli badala ya udambwidambwi wa zoazoa wenye options kibao km kufunga, lovely pass,vyenga na ana pumzi ya kutosha.

Angekuwa Mtanganyika Samata na Msuva wangefunga sana magoli pale mbele.
Hata Kibu angefunga sana second ball baada ya goalkeeper kutema mashuti ya huyu dogo.
 
Jamaa mahaba ya mpira yamempofusha kabisa sasa akili kidogo mahaba mengi.
Hii iko wazi timu kama Ivory coast Ina wachezaji wengi nje ya bar la Africa tena washindani hasa kitendo Cha Pacome kuitwa tu kwenye kikosi cha awali Cha Ivory coast Ina maanisha wameona kitu kutoka kwake hata kama kwasasa amaenda kuziba pengo la mtu lakin Bado inaonyesha kocha na benchi la ufundi linayo imani kubwa kwake.
Unafikiri hiyo namba anayocheza Pacome ni Ibrahim sangare tu ndio anayocheza Kwa Ivory coast nzima wapo wengi tena vifaa haswa lakin Pacome ni chaguo la pili baada ya ibarhim sangare.
Kwaiyo hata kama ingekua mechi muhimu kama ingetokea ibrahimu kua majeruhi angecheza Pacome Kwa sababu ndio mbadala wake kwa sasa.
 
Mkuu yule Kiungo wa Tottenham anaechezea Mali kafuta picha zote za Afcon na kaacha kuifata X Shirikisho la Mali baada ya kocha kumuacha kwenye hizi mechi sema kwa nini mnalazimisha kuzungumza vitu kama vipo juu ya uwezo wako watu wa Magharibi wanathamini sana kuchezea Timu zao hata kama mechi itakua haipo kwenye ratiba ya FIFA.
 
Kwanza baada ya kushukuru kuona wao wamethamini ligi yetu kutokana na Timu zetu mbili kufuzu robo fainal inapelekea hata wao kutokua na mashaka sema wengi mpira hawajui kabisaa ila kila kukicha kuanzisha nyuzi za mpira sasa hivi naona ntaaza kuwajibu kukaa kimya inaonekana wote hatujui kitu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…