Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Mwamba pacome zouzou amechaguliwa kuwa mchezaji Bora na caf hatua ya makundi iliyotamatika hivi karibuni!
Pacome kawamwaga wenzake baada ya kuwa na rating kubwa ya (7.99) kuliko wenzake kwenye Kila mechi ambapo ameonekana kuwa hatari kwenye match zote alizocheza!
Amafuatiwa na mostapha shobeir wa Aly ahly aliyepata rate ya (7.93) Sankara karamoko wa Asec mimosas mwenye rate ya (7.74) Aly mahloul wa Aly ahly mwenye rate ya (7.73) aliyefungana na wonlo koulibaly wa Asec mimosas mwenye rate ya (7.73)!
Wakati huo huo vinara wa ufungaji hatua ya makundi ni Sankara karamoko wa Asec mimosas aliyekuwa na magoli 4 na assist 1, pacome zouzou mwenye magoli 3 na assist 2, Hussein shehat mwenye magoli 3 bila assist!
CAF WAMEMALIZA UBISHI WA NANI BORA KATI YA YULE NA UYU! UBORA UNAONYESHA KWENYE MATCH ZOTE NA SIO MATCH NDOGO NDOGO PEKE YAKE UKU MATCH NGUMU UJULIKANI UPO UWANJANI AMA NJE YA UWANJA!