PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 722
- 2,225
Nyinyi SIMBA ndo munafananisha mchezaji wenu huyo na wachezaji wa Young Africans SC.Du aisee! yawezekana ni ujinga huu!! lkn mbona iko wazi kabisa chama ni zaidi ya. pecome... chama toka afike simba kafananishwa na makambo, kisinda, fei toto, morison, K Aziz na wengineo wengi.... sasahiv ni zam ya pecome... kesho itakuwa kwa zengeli... mpaka atapostaf atafananishwa na zaid ya wachezaj 10 wa yanga... na ili kuonyesha utofauti kaiingiza simba robo finals kwa goli 6 na kahusika na goli 5.. wakati pacome kaiingiza yanga robo kwa magoli 4 na kahusika moja kwa moja magoli 2.... chama ni bora sana tu Kuliko pacome.
Hakuna shabiki wa YANGA anafananisha wachezaji wa YANGA na wachezaji wa SIMBA.
Mulisema BALEKE hatari sana, mara Onana tusamehe. Hamna timu ya kushindana na YANGA.