Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau kusema Hata mayele alianza hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]HATA SARPONG ALIANZA HVYO HVYO
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.
Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.
1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.
2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).
NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.
TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
Labda yuko nyuma yakeHuyu mwamba alikufanya nini cha tofauti?? Mbona kila mara unatutaarifu kwamba UNAMPENDA SANA…??? Kuwa muwazi mkuu, funguka tu…!!!
We kolo unaongea niniNaona mnajifariji...
PacomeNaona mnajifariji...
Huyo ndiye yeye mwenyewe pengine ni majiraniHuyu mwamba alikufanya nini cha tofauti?? Mbona kila mara unatutaarifu kwamba UNAMPENDA SANA…??? Kuwa muwazi mkuu, funguka tu…!!!
Katika mechi ya viwango gani?Jamaa anafanya vitu uwanjani ambavyo havikuwahi kifanyika katika viwanja vya Kibongo.
Dah.
Anastahili uMVP hata kama ligi haijaisha.