Pacome Zwazwa anafanya vitu uwanjani ambavyo havikuwahi kufanyika katika viwanja vya Kibongo

Umesahau kusema Hata mayele alianza hivyo
 

Huyu mwamba alikufanya nini cha tofauti?? Mbona kila mara unatutaarifu kwamba UNAMPENDA SANA…??? Kuwa muwazi mkuu, funguka tu…!!!
 
Ya ni mafundi sana kwa PROPAGANDA media..
Jambo la kawaida litakuzwa mnoooo...
 
Jamaa anafanya vitu uwanjani ambavyo havikuwahi kifanyika katika viwanja vya Kibongo.

Dah.

Anastahili uMVP hata kama ligi haijaisha.
Katika mechi ya viwango gani?

Punguza ujinga kijana, unakoelekea utakua mpumbavu.

NB:
Bongo kila mytu Ni mchambuzi! Na anaujua mpira. Bongo nyoso!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…