Padre Josephat Jackson Bududu ateuliwa kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu la Tabora

Padre Josephat Jackson Bududu ateuliwa kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu la Tabora

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
29,909
Reaction score
32,414
BABA MTAKATIFU FRANSISKO AMEMTEUA PADRE JOSAPHAT JACKSON BUDUDU KUWA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO KUU KATOLIKI TABORA

Hongera sana wanajimbo Kuu Katoliki Tabora, Hongera Taifa la Tanzania kwa zawadi nzuri ya kiongozi katika Kanisa.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
.
FB_IMG_1740572860699.jpg

FB_IMG_1740571993595.jpg
 
Hapa ndio naamini uteuzi wa maaskofu papa uhusika wale ni mdogo sana,.aliwahi kuniambia padre mmoja sikuamini.

Tunazidi kumtakka afya njema Pope Fransisco , taarifa za matumaini ni nyingi .

Hongera sana padre kwa utume wa uaskofu.
 
Ndio tumegundua leo uongo uliofichika miaka mingi kuwa papa ndio anaeteua maaskofu kumbe sio ,papa yupo ICU anapambania uhai wake
 
Ndio tumegundua leo uongo uliofichika miaka mingi kuwa papa ndio anaeteua maaskofu kumbe sio ,papa yupo ICU anapambania uhai wake
Huelewi kitu uteuz hufanyika miezi nyuma Kabla ya taarifa rasm.
 
Holy See is an Institute
Ni sahihi kusems kateua na sahihi yake kuonekana kwenye barua kuwa ka sign wakati yuko hoi ICU

Sio forgery hiyo kuonekana papa ka sign wakati haja sign yuko anapambana na maisha yake ICU?
 
Ni sahihi kusems kateua na sahihi yake kuonekana kwenye barua kuwa ka sign wakati yuko hoi ICU

Sio forgery hiyo kuonekana papa ka sign wakati haja sign yuko anapambana na maisha yake ICU?
Wapi umeiona sahihi yake kwenye barua hapo juu?
 
Wapi umeiona sahihi yake kwenye barua hapo juu?
Papa akiteua huwa ana sign wewe barua kwa muhusika wewe

Youtube wako maaskofu kibao hutamka hilo kuwa nilipoata barua ya uteuzi na papa ka sign nilifurahi mno na wanaeleza lazima a sign yeye

Utandawazi huu unaficha nini? Kwa mfano
 
Back
Top Bottom