Padre Josephat Jackson Bududu ateuliwa kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu la Tabora

Hapa ndio naamini uteuzi wa maaskofu papa uhusika wale ni mdogo sana,.aliwahi kuniambia padre mmoja sikuamini.

Tunazidi kumtakka afya njema Pope Fransisco , taarifa za matumaini ni nyingi .

Hongera sana padre kwa utume wa uaskofu.
 
Si tumeambiwa Papa yu hoi ICU?
 
Ndio tumegundua leo uongo uliofichika miaka mingi kuwa papa ndio anaeteua maaskofu kumbe sio ,papa yupo ICU anapambania uhai wake
 
Ndio tumegundua leo uongo uliofichika miaka mingi kuwa papa ndio anaeteua maaskofu kumbe sio ,papa yupo ICU anapambania uhai wake
Huelewi kitu uteuz hufanyika miezi nyuma Kabla ya taarifa rasm.
 
Papa anasingiziwa si anaumwa tena ICU
 
Aya basi ni uongo, hajateuliwa na Papa. Furahini na kushangilia
 
Holy See is an Institute
Ni sahihi kusems kateua na sahihi yake kuonekana kwenye barua kuwa ka sign wakati yuko hoi ICU

Sio forgery hiyo kuonekana papa ka sign wakati haja sign yuko anapambana na maisha yake ICU?
 
Ni sahihi kusems kateua na sahihi yake kuonekana kwenye barua kuwa ka sign wakati yuko hoi ICU

Sio forgery hiyo kuonekana papa ka sign wakati haja sign yuko anapambana na maisha yake ICU?
Wapi umeiona sahihi yake kwenye barua hapo juu?
 
Wapi umeiona sahihi yake kwenye barua hapo juu?
Papa akiteua huwa ana sign wewe barua kwa muhusika wewe

Youtube wako maaskofu kibao hutamka hilo kuwa nilipoata barua ya uteuzi na papa ka sign nilifurahi mno na wanaeleza lazima a sign yeye

Utandawazi huu unaficha nini? Kwa mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…