BABA MTAKATIFU FRANSISKO AMEMTEUA PADRE JOSAPHAT JACKSON BUDUDU KUWA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO KUU KATOLIKI TABORA
Hongera sana wanajimbo Kuu Katoliki Tabora, Hongera Taifa la Tanzania kwa zawadi nzuri ya kiongozi katika Kanisa.
πππππππ
.
View attachment 3250385
View attachment 3250369
Nena uzi nambari 21 kwa ufafanuzi zaidiPapa akiteua huwa ana sign wewe barua kwa muhusika wewe
Youtube wako maaskofu kibao hutamka hilo kuwa nilipoata barua ya uteuzi na papa ka sign nilifurahi mno na wanaeleza lazima a sign yeye
Utandawazi huu unaficha nini? Kwa mfano
Uteuzi ni mchakatoPapa anasingiziwa si anaumwa tena ICU
Upo sahihi na Mchakato wa kupata Askofu Msaidizi ulianza baada ya Askofu Mkuu kuwa Cardinal.Aliteuliwa tangu muda kabla Papa hajazidiwa. Kinachofanyika sasa yeye na wenzake wote wanaopata teuzi ni utekelezaji unaofanywa na ofisi yake/wateule wake wa Vatican.
NB:
1. Nafasi ya Papa HAIKAIMIWI na mtu yeyote yule bali Papa mwenyewe hata kama atakuwa mgonjwa katika hali gani yeye pekee ndio mwenye mamlaka ya Kipapa.
2. Ukomo wa Papa hufika pindi umauti utapomfika na kutangazwa rasmi. Hapo ofisi ya Kipapa hufungwa mpaka pale Papa mpya atapochaguliwa.
Haya yote ni kwa mujibu wa sheria za Kanisa Katoliki.
Usifananishe Catholic na huo upumbavu mwingine!Papa Francis amepona lini, hadi ateue naibu askofu? Si yuko ICU anapambania uhai wake?
Mmmh
Kwataarifa mchakato huenda ulianza miaka 3 nyuma Huko ..Ndio tumegundua leo uongo uliofichika miaka mingi kuwa papa ndio anaeteua maaskofu kumbe sio ,papa yupo ICU anapambania uhai wake
Nalipongeza kanisa katoliki kwa utaratibu wa kuchagua maaskofu wanaotoka kwenye eneo husika tofauti na KKKT.
Hivi unajielewa wewe? Huo ukatoliki wenyewe huujuiNalipongeza kanisa katoliki kwa utaratibu wa kuchagua maaskofu wanaotoka kwenye eneo husika tofauti na KKKT.
Hongera kwake.Hongera TEC.Ikawe heri na baraka.BABA MTAKATIFU FRANSISKO AMEMTEUA PADRE JOSAPHAT JACKSON BUDUDU KUWA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO KUU KATOLIKI TABORA
Hongera sana wanajimbo Kuu Katoliki Tabora, Hongera Taifa la Tanzania kwa zawadi nzuri ya kiongozi katika Kanisa.
πππππππ
.
View attachment 3250385
View attachment 3250369
Uteuzi huu si kama ule wa CCM unaofanyika jukwaani, ni mchakato unaochukua muda mrefu sana mpaka kuthibitishwa.Papa kateuaje wakati yuko ICU hoi hospitalini Vatican