The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
"Kuna matatizo ya msingi hayajashughulikiwa yamelundikana na tumeamua kuacha kusimama kwenye ukweli watu wanatekwa hakuna solution.
Inaonekana kuna chombo chenye nguvu kubwa kuliko polisi wanaopaswa kuzuia utekaji.
Vijana wanapoona vijana wanapoona kuna chombo ambacho kina nguvu kuliko polisi kwanini wasilalamike?
Demokrasia hakuna kuchagua kiongozi unayemtaka, leo unawekewe kiongozi, upende usipende huyu ndiyo atakuwa kiongozi wako. Mimi nimeona mbunge mmoja amepata asilimia 99 za kura haijawahi kutokea Tanzania"
Padre Charles Kitima, Katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 01, 2025.