PostGE2025 Padre Kitima: Rais aliwahi kusema huwezi kuwa Polisi halafu ujichunguze. Kwanini sentensi hii isiongelewe leo?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania padre Dkt. Charles Kitima amesema kuliwahi kutokea tatizo la polisi Mtwara 'Rais akasema huwezi wewe kuwa polisi umefanya hivi halafu ujichunguze' huku akihoji kwanini sentensi hiyo isiongelewe leo?

Pia amehoji serikali kuunda tume ya uchunguzi akisema "utajichunguzaje? kama kazi yako ni kulinda na watu wameuawa, si umeshindwa kuwalinda? kama umeshindwa kuwalinda aje mtu kutoka nje tujue ni wewe uliyeshindwa kuwalinda au kuna mwingine aliyesababisha ushindwe kuwalinda"

Padre Kitima, ameyasema hayo leo Desemba 01, 2025 akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
 
Common wealth kote muunda tume kama hiyo ni mkuu wa executive,hili jaji chande kalisema leo,ni kwa mujibu wa katiba zao
Labda kama kitima na walevi wenzake hawataki tufuate Sheria katika hili
 
Ni hoja yenye mashiko sana!
 
Common wealth kote muunda tume kama hiyo ni mkuu wa executive,hili jaji chande kalisema leo,ni kwa mujibu wa katiba zao
Labda kama kitima na walevi wenzake hawataki tufuate Sheria katika hili
Ngoja tutumie mifano mirahisi ikiwezekana hata kuhesabu visoda ,vijiti..
Maana mahesabu ya kwenda na moja KICHWANI huwachanganyaga wengi watu kama nyinyi

Ni kama uambiwe ulinde stock ya sukari, mafuta ya kula na mchele

Alaf vitu vikapungua na mahesabu hayapo sawa alafu ulikua anapunguza stock kidogo kidogo kupeleka nyumbani..

Alafu wewe mwenyewe ndio ujiundie TUME kuchunguza upotevu wa mafuta, mchele na sukari??!!

Hili hata yule mwanangu wa standard two anakujibu kua kuunda tume wakati wewe mwenyewe unatakiwa kuwajibishwa ni sawa sawa na kuingia msikitini ukiwa una najisi (nguruwe, sex bila kuoga e.t.c)

Kwa uchache sanaa

NB.na kwanini nyinyi hamsikilizi hamtaki kushauliwa, ku shaurika..
 
Common wealth kote muunda tume kama hiyo ni mkuu wa executive,hili jaji chande kalisema leo,ni kwa mujibu wa katiba zao
Labda kama kitima na walevi wenzake hawataki tufuate Sheria katika hili
Wewe mfuasi wa nabii mbaka vitoto tuliza jambio lako hilo
 
Hajawahi kumaanisha anachosema that why Hana kumbukumbu plus akili ndogo..

Aliwahi kusema maandamano hayafai yanachochea vurugu, baadae akasema maandamano yanaruhusiwa ni haki ya kikatiba,.

Alisema tunafanya vizuri kiuchumi kuzidi ulaya na marekani

Uchumi unakua.

Baadae akasema mapato madogo, serikali haina uwezo wa kugharamia miradi.

Then akaanza kusema lazima tuchukue mikopo mikubwa kuokoa hali.

Nina mifano zaidi ya 100 ya kauli zake zinazo expose uwezo wake wa kufikiria...rejea interview yake na BBC Swahili alivyosema kuhusu katiba mpya...
 
Katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania padre Dkt. Charles Kitima amesema kuliwahi kutokea tatizo la polisi Mtwara 'Rais akasema huwezi wewe kuwa polisi umefanya hivi halafu ujichunguze' huku akihoji kwanini sentensi hiyo isiongelewe leo?

Pia amehoji serikali kuunda tume ya uchunguzi akisema "utajichunguzaje? kama kazi yako ni kulinda na watu wameuawa, si umeshindwa kuwalinda? kama umeshindwa kuwalinda aje mtu kutoka nje tujue ni wewe uliyeshindwa kuwalinda au kuna mwingine aliyesababisha ushindwe kuwalinda"

Padre Kitima, ameyasema hayo leo Desemba 01, 2025 akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Screenshot_20251122-091801~2.png
 
Back
Top Bottom