The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Wafanye kama tec ya Zambia tu,Father alikuwa sub mda wake wa kuwasha moto huu
Ni hoja yenye mashiko sana!Katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania padre Dkt. Charles Kitima amesema kuliwahi kutokea tatizo la polisi Mtwara 'Rais akasema huwezi wewe kuwa polisi umefanya hivi halafu ujichunguze' huku akihoji kwanini sentensi hiyo isiongelewe leo?
Pia amehoji serikali kuunda tume ya uchunguzi akisema "utajichunguzaje? kama kazi yako ni kulinda na watu wameuawa, si umeshindwa kuwalinda? kama umeshindwa kuwalinda aje mtu kutoka nje tujue ni wewe uliyeshindwa kuwalinda au kuna mwingine aliyesababisha ushindwe kuwalinda"
Padre Kitima, ameyasema hayo leo Desemba 01, 2025 akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Angalia hii afu unitofautishie kati ya Idd Amin na naniliuCommon wealth kote muunda tume kama hiyo ni mkuu wa executive,hili jaji chande kalisema leo,ni kwa mujibu wa katiba zao
Labda kama kitima na walevi wenzake hawataki tufuate Sheria katika hili
Ngoja tutumie mifano mirahisi ikiwezekana hata kuhesabu visoda ,vijiti..Common wealth kote muunda tume kama hiyo ni mkuu wa executive,hili jaji chande kalisema leo,ni kwa mujibu wa katiba zao
Labda kama kitima na walevi wenzake hawataki tufuate Sheria katika hili
Wewe mfuasi wa nabii mbaka vitoto tuliza jambio lako hiloCommon wealth kote muunda tume kama hiyo ni mkuu wa executive,hili jaji chande kalisema leo,ni kwa mujibu wa katiba zao
Labda kama kitima na walevi wenzake hawataki tufuate Sheria katika hili
Katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania padre Dkt. Charles Kitima amesema kuliwahi kutokea tatizo la polisi Mtwara 'Rais akasema huwezi wewe kuwa polisi umefanya hivi halafu ujichunguze' huku akihoji kwanini sentensi hiyo isiongelewe leo?