Padre: Muwe mnasikiliza nyimbo za misiba majumbani

Padre: Muwe mnasikiliza nyimbo za misiba majumbani

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Unaweza hisi anatania ukweli unauma. Padre mmoja leo amekumbusha watu.

Mmekuwa waguumu kuimba misibani, najua hizi nyimbo hatuimbi mara kwa mara, kwakuwa ziko vitabuni na mnazijua muwe mnajikumbusha kuimba na familia mkija msianze kuangaliana.

Msisubiri ufikwe na msiba, hapa watu 2kagunaa mmmmh yamekuwa hayo? Ukweli ndio huo, mjtahidi kufanya mazoezi kwenu jamani.

rip all
 
Sidhani kama zina stahili kuitwa nyimbo za msiba, kwa mfano kuna wimbo ' nukulilia katika unyonge wangu'

'Tumaini letu ni kwa Bwana'

'Nimekukimbilia Bwana nisiaibike milele'

'Mchungaji ameniandalia mema yote '

Na nyingine nyingi zipo kwa mfumo wa maombi na kumsifu Mungu.

Sijui kwa nini ziilitwa nyimbo za msiba hata kama zinaimbwa wakati wa maombolezo.
 
Back
Top Bottom