Uchaguzi 2020 Padre wa Kanisa Katoliki aliyeomba Ubunge huko Kagera kupitia CCM asimamishwa rasmi kuendelea na wito

Kiongozi udini hauwez kukusaidia chochote! Ila dini inaweza kukusaidia kuwa mvumilivu, muungwana na mwenye staha! Udini unafarakanisha! Sheikh na Mapdre wote ni Watumishi wa Mungu!
 
Kumbe hujui hata kusoma
 
Huyo Padre ndio huyu hapa siku akiomba kura kwa wajumbe huko Nkenge Bukoba!
Your browser is not able to display this video.
 
Umenikumbusha kuna Padre amezaa na Nesi watoto watatu,na unafahamika kabisa hata kwa watoto wa chekechea
Kaka yake Bi mdashi alikuwa padri ila sasahivi ni marehemu na amecha watoto
 
Hii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea
Yaani wewe ni Kilaza wa kutupwa kuwahi kutokea JF
Rwaichi kawa Cardinal lini ?
 
faza keshaingizwa chaka

amekuwa mwanakuli find na mwanakuli get
 
Mimi ni mkatoliki,hilo unalo dai siyo sahihi.Ruwaich ni Askofu mkuu wa jimbo la Dsm na Pengo anabaki kuwa Kardinali wa Tz hadi pale baba Mtakatifu atakapomtangaza kardinali mwingine mpya wa Tanzania
Hakuna cheo kinaitwa Cardinal wa Tanzania au wa nchi
Kama ni Mkatoliki basi ni Mkatoliki Kilaza
 
Nyumbu ni CCM hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM walivyokuwa wengi lakini hawana maarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…