Uchaguzi 2020 Padre wa Kanisa Katoliki aliyeomba Ubunge huko Kagera kupitia CCM asimamishwa rasmi kuendelea na wito

Kuongezea hapo, ni kwamba si lazima awe Kardinali, na wala si lazima Tanzania au kila nchi iwe na Kardinali, na si lazima nchi moja itoe Kardinali mmoja tu
Sahihi,kuna nchi kibao hazina Cardinals
Watu hawajui kuwa from Administration Point of View, Roman Catholic wana ungozi wao tofauti sana na Uongozi wa Kiulimwengu
That's what is Roman Empire
 
Aisee sikujua kama pia wapo mapadre wa catholic, kanisa lenye heshima naye alitaka kwenda bungeni. Shame on you maccm!

Haya amefukuzwa aende vizuri huko CCM
View attachment 1523939
Nimeelewa, lakini kwa nini barua ya kumfukuza padri iwe 'addressed' kwa Polycarp Kardinali Penge badala ya kwenda kwa Rais wa TEC maana cheo cha kardinali si cheo cha kimadaraka/kiutawala badala ya kwenda kwa Rais wa TEC, ambayo ndiyo imesajiliiwa kama 'overseer' wa Kaniisa Katoliki Tanzania? Bado natafakari kama ni waraka unaotoka kwenye vyanzao sahihi au umepikwa.
 
Aisee sikujua kama pia wapo mapadre wa catholic, kanisa lenye heshima naye alitaka kwenda bungeni. Shame on you maccm!

Haya amefukuzwa aende vizuri huko CCM
View attachment 1523939
Hugo padre mjinga sana. Anakula bure analelewa ila hajaridhika.
Aulize watu Wapo kitaa na degree zetu ila kila biashara tunayogusa inaleta chenga.
 
Papa Benedict pia yalimshinda akaamua aingie mitini
 
Kwa wakatoliki hamna kuacha kwa hiari kazi ya upadre kwa sababu upadre sio kazi bali ni wito. Unachotakiwa kufanya ni kumuomba Pope Francis akuruhusu uachane na upadri wako. Aidha, hata askofu hawezi kumnyang'anya upadri ndio maana amemsimamisha kutoa huduma za upadri. Ikishindikana basi watamuomba Papa amuondoe katika ukatoliki ( excommunicate). Kuna yule Askofu Milingo wa Zambia alipoamua kuoa kwa mara ya kwanza alipewa muda wa kutafakari na alipokiri kuwa alikosea, alisamehewa na kupokelewa tena kundini. Lakini alipomrudia mke wake kwa mara ya pili amekuwa excommunicated.

Amandla...
 
Aisee sikujua kama pia wapo mapadre wa catholic, kanisa lenye heshima naye alitaka kwenda bungeni. Shame on you maccm!

Haya amefukuzwa aende vizuri huko CCM
View attachment 1523939

That’s Catholic hawana utani na nidhamu ...Fukuza aliyemdanganya amchukue

Alafu Kumbe Pamoja na kustaafu Bado Mwandama ndio Top kwenye hierarchy protocol ya kabisa hadi leo
 
Unaweza kuta alikuwa TISS sasa ametafuta mlango wa kutokea.

Kanisa Katoliki ni Baba wa ujasusi

Kuna mapadre wako fit sana kwenye hilo

Pia TISS huchukua Sana wanaseminari maana maisha ya seminari ni kama maisha ya kwenye Academy ya ujasusii

Mtu aliyepita seminari hadi advamce ana nafasi kubwa sana kuingia TISS
 
Jamaa msaliti huyo... kachoka kuchunga kondoo wa bwana...

Kuna binadamu wanafurahisha sana...
Kachoka kuitwa mtumishi, kaona bora akajitafutie u-heshimiwa...


Cc: mahondaw
 
Hazikutoshi kweli wewe! kwani kuwa na no ya simu ndio kupatikana?? umeambiwa hana makazi maalum hata hiyo barua wameshindwa wampate wapi kijiji gani, kata gani au tarafa ipi.
 
Ni kweli kabisa ndio maana watu Kama wakina Membe walibahatika na ndani ya kanisa hicho kitengo Cha makachero ndio kinaitwa Jesuit
 
Huyo afuatiliwe ashskula Sana kondoo. Gwajima naye angetimuliwa
 
Kwa kuwa anaipenda ccm kuitumikia kuliko Mungu mpeni ubunge hata wa Viti Maalumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…