TANZIA Padri aliyemwagiwa tindikali 2013 Zanzibar afariki

Acheni uchochezi kwani miaka zaidi ya 12 bado wimbo ndo huo huo, kwani alikua imotor kwamba sio wa kufa?
Sio uchochezi unguja wanauislamu wa kizamani sana wanajiona wema sana kama Mtume angekua kama wao basi sidhan kama uislamu ungekuwepo.
 
Acheni uchochezi kwani miaka zaidi ya 12 bado wimbo ndo huo huo, kwani alikua imotor kwamba sio wa kufa?
Wapi kuna uchochezi? Hii ni history, mwandishi kasema padri aliyemwagiwa tindikali afariki, hàjasema tindikali yamuua padri.
Hàta Tundu Lissu akifariki lazima history itasemwa kwamba alipigwa risasi, siyo amekufa kwa kupigwa risasi.
Acha makasiriko wewe mfuasi wa sheikh Faridi uamsho mlifanya Mambo ya kishenzi sana.
 
Usikute walikuwa wanagombea maslai ya kikanisa,kuna maslai sana kwenye haya makanisa yetu sisi wakristo
Wewe mpumbavu sana, uamsho mnataka kujitoa ufahamu kwa ushenzi wenu mlioufanya kwa watu wasio wa dini yenu?
Eti wakristo wanagombea maslahi, punguani mmoja wee.
 
Mkuu izo taasisi zina miradi mingi wanapigana hadi juju na kufanyiana umafia mkubwa sana, we mbulula uwezi kujua zaidi ya kupayuka,mi mkristo nayajua hayo
 
Acheni uchochezi kwani miaka zaidi ya 12 bado wimbo ndo huo huo, kwani alikua imotor kwamba sio wa kufa?
Mwenzake alipigwa risasi ndani ya kanisa na kufariki, huo ndiyo ungekuwa uchochezi mkubwa endapo angepigwa shehe.
 
Kwa taarifa yenu, hamruhusiwi kula wakati wa mfungo. Ni viboko na selo ukikaidi. Hii ni kwa wale mliopo unguja na Pemba. Watu wa huko wanaushenzi flani wa kujisahau
 
Mkuu izo taasisi zina miradi mingi wanapigana hadi juju na kufanyiana umafia mkubwa sana, we mbulula uwezi kujua zaidi ya kupayuka,mi mkristo nayajua hayo
Kama huelewi kilichosababisha padri huyo kumwagiwa tiñdikali sema tukueleweshe. Sheikh Farid na kundi lake la uamsho hawakuwa wakristo. Unaoneka aidha hujui kilichotokea au wewe ulikuwa mwamsho wakàti ule sàsa unajaribu kupotosha wasiojua.
 
Mi najua zaidi yako,hao ni ugomvi wao wa kimaslai ulikuwa
 
Back
Top Bottom