Padri asalimisha silaha 4 zilizokuwa zikimilikiwa na kanisa katoliki la Ifakara

MBWARI

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2021
Posts
366
Reaction score
1,218
PADRI ASALIMISHA SILAHA 4 ZILIZOKUWA ZIKIMILIKIWA NA KANISA KATOLIKI LA IFAKARA

Ikiwa imebaki siku moja ya zoezi la Usalimishaji Silaha Haramu kwa hiari, Wenseslais Kasian Kayera (65) Padri wa Kanisa Katoriki Ifakara, mkazi wa Kata na Tarafa ya Ifakara wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro amesalimisha silaha nne zilizokuwa zikimilikiwa na Kanisa Katoliki.

Silaha hizo ni aina ya Shotgan 2 aina za 12 bore zenye namba CAR 5636565 na CAR 9436, Rifle namba TZ 196955 na bastola aina ya Record ambayo namba zake hazionekani zilisalimishwa katika kituo cha Polisi Ifakara Oktoba 30, 2026 na kupokelewa na Mkuu wa Polisi wa Polisi Wilaya ya Kilombero SP Diventin Nyahoro.

Usalimishaji silaha huo umetokana na Kampeni ya Jeshi la Polisi ya kuhamasisha wananchi kusalimisha silaha zinazomilikiwa kinyume na sheria.

Akiongea na Chombo hiki Padri Kayela amesema, wamefikia uamuzi huo baada ya kupata elimu kwa wataalamu wa Jeshi la Polisi walipokuja kutoa elimu katika Kanisa Katoliki

​
 
Hizo silaha za pembeni sio silaha zilizowasilshwa
 
Baba yangu alikuwa Na nafasi ndani ya selikari, kitengo chake aliruhusiwa kukaa Na bunduki, alivokufa tulikaa nayo miaka mitatu Na tukairejesha kama siraha haramu coz hatukuwa wahusika, , , , ,samahani Ni mfano tu
 
Wewe jamaa wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…