wauaji hukuwaona? Wauaji ni wale waliomiminia risasi waandamanaji na wasioandamana wakawa wanafyatua risasi kwa yeyote waliyemuona mbele yao. Wauaji ni hao wanaobeba bunduki kila uchao hata kama hakuna tishio. Raia akiwa na silaha yake hubaki nayo nyumbani kujihami na majambazi watakaovamia kwakeHao ni magaidi tu,na hizo uenda zimetumika kuua watu October
Usipojua utaratibu unaweza kuchanganya dhana ya kumiliki silaha kinyume na utaratibu na kumiliki silaha kihalamu.Baba yangu anaweza kuwa na gobole kwa miaka 50 akifariki silaha ile sipaswi kuirithi maana leseni haikutolewa kwangu napaswa kurudisha niombe upya na hapo wanaweza kuninyima au wakanipa tena kibali cha kuendelea kuwa nayo kwa malengo ya awali.Vivyo hivyo hata kwenye taasisi ni hivyo hivyo na silaha nyingine unakuta ilishapara kutu hata haifanyi kazi.Je Padre kukabidhi silaha ni habari au ? Hiyo sio habari kwa sababu nijuavyo mimi kwa zaidi ya miaka hata mia silaha zilishakuwepo kwenye makazi ya kanisa kwa sababu ya jiographia ya maeneo ya kanisa kuwepo porini hivyo kujilinda na wanyama wakali.Pia majambazi walikuwa wakiziandama sana parokia kwa ajili kupora vitu vya thamani.Na silaha nyingi hazitumiki tena baada ya kuwa za miaka mingi mno zimeharabika tu na pia mabadiliko ya kiuongoziPADRI ASALIMISHA SILAHA 4 ZILIZOKUWA ZIKIMILIKIWA NA KANISA KATOLIKI LA IFAKARA
Ikiwa imebaki siku moja ya zoezi la Usalimishaji Silaha Haramu kwa hiari, Wenseslais Kasian Kayera (65) Padri wa Kanisa Katoriki Ifakara, mkazi wa Kata na Tarafa ya Ifakara wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro amesalimisha silaha nne zilizokuwa zikimilikiwa na Kanisa Katoliki.
Silaha hizo ni aina ya Shotgan 2 aina za 12 bore zenye namba CAR 5636565 na CAR 9436, Rifle namba TZ 196955 na bastola aina ya Record ambayo namba zake hazionekani zilisalimishwa katika kituo cha Polisi Ifakara Oktoba 30, 2026 na kupokelewa na Mkuu wa Polisi wa Polisi Wilaya ya Kilombero SP Diventin Nyahoro.
Usalimishaji silaha huo umetokana na Kampeni ya Jeshi la Polisi ya kuhamasisha wananchi kusalimisha silaha zinazomilikiwa kinyume na sheria.
Akiongea na Chombo hiki Padri Kayela amesema, wamefikia uamuzi huo baada ya kupata elimu kwa wataalamu wa Jeshi la Polisi walipokuja kutoa elimu katika Kanisa Katoliki
Wengine wakina naniWengine wangeitwa magaidi
😂😂🤣🤣🤣😅😅😅😅😆😆😆😆😁😁😁😄😄😄😄😃😃😀😀Silaha hiz wangekabidh waislam ...ungeona wanaitwa magaid😎
😂😂😂🤣🤣😅😅😆😁😁😄😄😃😃🙃😀Zitakuwa za kulindia zaka na sadaka
Inawezekana, kuna taasisi ya kanisa niliwahi fanya kazi kulikuwa na gobole liliachwa na padri ambaye alifariki lilikaa hapo miaka hakuna wa kulirudisha na viongozi walikuwa wanabadilishwa badilishwa kwa hiyo kila anayelikuta anaona litapelekwa na anayekujaUongo mtupu