Itakuwa kuna tatizo katika utoaji taarifa na uwekaji vielelezoHizo silaha za pembeni sio silaha zilizowasilshwa
Am a proud Catholic.PADRI ASALIMISHA SILAHA 4 ZILIZOKUWA ZIKIMILIKIWA NA KANISA KATOLIKI LA IFAKARA
Ikiwa imebaki siku moja ya zoezi la Usalimishaji Silaha Haramu kwa hiari, Wenseslais Kasian Kayera (65) Padri wa Kanisa Katoriki Ifakara, mkazi wa Kata na Tarafa ya Ifakara wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro amesalimisha silaha nne zilizokuwa zikimilikiwa na Kanisa Katoliki.
Silaha hizo ni aina ya Shotgan 2 aina za 12 bore zenye namba CAR 5636565 na CAR 9436, Rifle namba TZ 196955 na bastola aina ya Record ambayo namba zake hazionekani zilisalimishwa katika kituo cha Polisi Ifakara Oktoba 30, 2026 na kupokelewa na Mkuu wa Polisi wa Polisi Wilaya ya Kilombero SP Diventin Nyahoro.
Usalimishaji silaha huo umetokana na Kampeni ya Jeshi la Polisi ya kuhamasisha wananchi kusalimisha silaha zinazomilikiwa kinyume na sheria.
Akiongea na Chombo hiki Padri Kayela amesema, wamefikia uamuzi huo baada ya kupata elimu kwa wataalamu wa Jeshi la Polisi walipokuja kutoa elimu katika Kanisa Katoliki
Katoliki (uongozi) ndio unatakiwa kukanusha. Kama ilivyotokea kule Mara kwa tukio la Padri kukwapua mamilioni ya kanisa na kushitakiwa, au kule Bukoba kwa Padre kufanya ukatili kwa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi.Kwanza alivovaa tu inatia mashaka....
Inawezekana, kama huko kusini wana migodi ya dhahabu na wauminj wao wala hawajui hilo.Silaha tena?, za kuwindia nini hizo.
Kanisa lilishavuka level za kujibu ujingaKatoliki (uongozi) ndio unatakiwa kukanusha. Kama ilivyotokea kule Mara kwa tukio la Padri kukwapua mamilioni ya kanisa na kushitakiwa, au kule Bukoba kwa Padre kufanya ukatili kwa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi.
Nyie waumini mnaongozwa na hisia, mna wanna viongozi wa dini ni Malaika, miungu kwa Maana hawakosei hata kidogo.
Magaidi hao,acha dunia ipate habari! Hizo ndio zilitumika kuua watu OctoberMods mmelala mapema hii?
Ulichoelewa kimeandikwa wapi zuzu wewe! Acha kukwepesha habari! Ingekuwa ishu ya msikiti mngemtukana hadi Samia mmbwa nyieNilichoelewa ni kwamba waumini wamesalimisha kwa padre. Nayeye akaziwasilisha mahala panapohusika
Hao ni magaidi tu,na hizo uenda zimetumika kuua watu OctoberNi kawaida baadhi ya watu maarufu na wenye nyadhifa katika jamii hawakosi silaha za kujilinda, mfano kina gwajboy wana bastola viunoni mwao gusa unate. Sie wengine tuna marungu, fimbo, nondo, visu na mapanga sembuse vigogo? Sheria hairuhusu kumiliki baadhi ya silaha kali kama bunduki na mabomu lakini kwenye fimbo na marungu ongeza na mapanga haisemi kitu. Wacha wasalimishe tu maana ni utaratibu wa sheria
Magaidi huwa hawakabidhi silaha. Kwahiyo ugaidi wa waislam unabaki palepaleSilaha hiz wangekabidh waislam ...ungeona wanaitwa magaid😎
taarifa imekaa kimchongo.Ulichoelewa kimeandikwa wapi zuzu wewe! Acha kukwepesha habari! Ingekuwa ishu ya msikiti mngemtukana hadi Samia mmbwa nyie
Ingekuwa inahusu uislam Wala usingesema imekaa kimchongo.makafiri hamna akili zaidi ya chuki na unafiki titaarifa imekaa kimchongo.
We mshenzi nini? Unatumia kiuongo gani kufkri? Unatumia nguvu nyingi kutetea mtu mwenye uwezo mdogo wa akili.Ingekuwa inahusu uislam Wala usingesema imekaa kimchongo.makafiri hamna akili zaidi ya chuki na unafiki ti