Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Kisa kusali tu..dini! LolAlikuwa ni padri mmoja noma sana! Kila siku misa ya asubuhi ni saa tisa kamili usiku, ukichelewa hata dakika moja anakufungia nje halafu adhabu yake unapaswa ukachote mchanga wa ujenzi mtoni debe mia!
Haya basi tuendelee kukufaNi ngumu kwa waamini
Huyu padri alikuwaga kiboko! Nakumbuka sikuwahi kupata kipaimara hadi leo kwa sababu ya huyu Mzee.
mlikuwa mnateseka sana,hapakuwa na kanisa lingine zaidi ya hilo?Tulikuwa tunapambana na chui sana.Imagine Misa inaanza saa tisa kamili usiku halafu kanisa lipo umbali wa 5Km na tunatembea kwa miguu vijijini huko!
Hivi wanaosali kule kwa kina Mwamposa na kwingine wanaendelea kufa sana eee?Haya basi tuendelee kukufa
Dah hata sijuiHivi wanaosali kule kwa kina Mwamposa na kwingine wanaendelea kufa sana eee?
Maana kule ibada moja watu elfu3Dah hata sijui
Pole sn kumbe ulikumbana na kibano chake!Huyu padri alikuwaga kiboko! Nakumbuka sikuwahi kupata kipaimara hadi leo kwa sababu ya huyu Mzee.
Umbwe missionNitamkumbuka akiwa Kibosho enzi hizo, R.I.P father Padri. Kisamaka.
Inawezena watu wanakufa lkn hawatangaziMaana kule ibada moja watu elfu3
Kwa jinsi ulivyokuwa nunda ww lazima ulibeba mchanga wa kujenga chuo kizimaAlikuwa ni padri mmoja noma sana! Kila siku misa ya asubuhi ni saa tisa kamili usiku, ukichelewa hata dakika moja anakufungia nje halafu adhabu yake unapaswa ukachote mchanga wa ujenzi mtoni debe mia!
Kanisa limezuiwa kutangaza vifo kwa amri ya Mfalme, au huyo Baba Askofu haogopi amri ya Mfalme?
Mhashamu Baba Askofu Ludovick Joseph Minde wa Jimbo Katoliki La Moshi anatangaza kifo cha Mh. Padre Bonaventura Kisamaka kilichotokea Leo Jumatano 03/03/2021 katika hospitali ya Mt. Joseph Soweto Moshi.
Mipango ya mazishi inaendelea na taarifa zaidi tutaendelea kukujulisha
Raha ya milele umpe eeh Bwana na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani Amina. [emoji120][emoji174]
Source: Radio Maria
Nadhani anamaanisha Seminarini. Behaviorist ni Mseja aliyeishia njiani.Saa tisa usiku mkuu,fafanua please
Samahani mama D;
Kwani mama Rwakatare hakuwa na imani kiasi hicho?