TANZIA Padri Bonaventuta Kisamaka afariki dunia

TANZIA Padri Bonaventuta Kisamaka afariki dunia

Itabidi ibada isimamishwe kwa muda, mapadre wetu wanaisha
 
Maji tiririka na sabuni vinasaidia sana. Kiufupi usafi wa mwili
 
Kanisa katoliki Ni taasisi kongwe,iko organized vzr kuliko vinchi vingi vya dunia ya 3,inakubali vp kupoteza watumishi wake wengi kiasi hiki kwa uzembe wa watu wachache wenye madaraka?? Kama hapa chanjo haiingii,si waende Vatican wakachanjiwe kule kwa Hawa watumishi ili kuwalinda??au wanaogopa mkwara ??

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Huyu padri alikuwaga kiboko! Nakumbuka sikuwahi kupata kipaimara hadi leo kwa sababu ya huyu Mzee.
Pole sn kumbe ulikumbana na kibano chake!
Ht wengi waliokua wachawi walipata kibano pia.
 
Alikuwa ni padri mmoja noma sana! Kila siku misa ya asubuhi ni saa tisa kamili usiku, ukichelewa hata dakika moja anakufungia nje halafu adhabu yake unapaswa ukachote mchanga wa ujenzi mtoni debe mia!
Kwa jinsi ulivyokuwa nunda ww lazima ulibeba mchanga wa kujenga chuo kizima
 
Inawezena watu wanakufa lkn hawatangazi
Nimejaribu kuuliza waumini wanasema hakuna corona kule, wengi wanaohudhuria ni wenye magonjwa mbalimbali na wanapokea uponyaji. Imani kitu kikubwa sana Demi
 


Mhashamu Baba Askofu Ludovick Joseph Minde wa Jimbo Katoliki La Moshi anatangaza kifo cha Mh. Padre Bonaventura Kisamaka kilichotokea Leo Jumatano 03/03/2021 katika hospitali ya Mt. Joseph Soweto Moshi.

Mipango ya mazishi inaendelea na taarifa zaidi tutaendelea kukujulisha

Raha ya milele umpe eeh Bwana na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani Amina. [emoji120][emoji174]

Source: Radio Maria
Kanisa limezuiwa kutangaza vifo kwa amri ya Mfalme, au huyo Baba Askofu haogopi amri ya Mfalme?
 
Nimejaribu kuuliza waumini wanasema hakuna corona kule, wengi wanaohudhuria ni wenye magonjwa mbalimbali na wanapokea uponyaji. Imani kitu kikubwa sana Demi
Samahani mama D;
Kwani mama Rwakatare hakuwa na imani kiasi hicho?
 
Samahani mama D;
Kwani mama Rwakatare hakuwa na imani kiasi hicho?

Kipimo cha imani zetu anakijua Mungu tuu

Kwa waamini wa uwepo wa Mungu miaka yetu ya kuishi anayo yeye muumba iwe ni kwa corona, malaria, presha, sukari, ajali au hata bila ugonjwa. Hakuna cha kuuondoa uhai wetu bila Mungu kuachilia kibali, na kibali kinategemea na uaminifu wetu kwake na moyo wa toba.... kama kweli tunaanza nae na kumaliza nae Mwenye enzi.

Mama yetu Gertrude alitwaliwa katika 70 yake na tunaendelea kumshukuru Mungu kwaajili ya uhai wake
 
Back
Top Bottom