TANZIA Padri Bonaventuta Kisamaka afariki dunia

TANZIA Padri Bonaventuta Kisamaka afariki dunia

Mhashamu Baba Askofu Ludovick Joseph Minde wa Jimbo Katoliki La Moshi anatangaza kifo cha Mh. Padre Bonaventura Kisamaka kilichotokea Leo Jumatano 03/03/2021 katika hospitali ya Mt. Joseph Soweto Moshi.

Mipango ya mazishi inaendelea na taarifa zaidi tutaendelea kukujulisha

Raha ya milele umpe eeh Bwana na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani Amina. [emoji120][emoji174]

Source: Radio Maria
RIP Padre
 
Amesumbua sana Moshi huyu padri.
Nakumbuka siku moja nikiwa denti pale Mlama nikahudhuria misa ya asubuhi. Huyu Kisamaka akawa yuko zamu kuendesha misa hiyo. Jamaa mmoja akajichanganya akapokea komunyo mkononi. Badala ya kuila hapo hapo akageuka nayo kama vile alitaka kuondoka nayo. Alimuita akamzaba kofi hapo hapo.
 
Mopya huyo! Hii haikubaliki ila kwa vile alikuwa sehemu wanazowaabudu ma mopya la sivyo naye angeadabishwa. By the way, Fr. Frank Chuwa naye hatunaye
 
Mbona ndugu zetu waislamu wako FIT pamoja na kufanya idadi kubwa ya sala kila siku.
Mapadri wanakutana na umati mkubwa wa waumini wa kanisa mara moja tu kwa wiki
 
Mbona ndugu zetu waislamu wako FIT pamoja na kufanya idadi kubwa ya sala kila siku.
Mapadri wanakutana na umati mkubwa wa waumini wa kanisa mara moja tu kwa wiki
Kila siku asubuhi kuna misa, kuanzia Jumatatu hadi Jumapili, pengine hujui labda kwa kuwa unaijua ya Jumapili tu. Kila siku kuna kuonana na waumini ofisini, kama ni Paroko au Msaidizi wake. Parokiani kwetu ratiba ni kuanzia saa 3.00 asubuhi hadi saa 6.00 mchana, Jumatatu hadi Ijumaa kasoro Jumatano. Kila Alhamis kuna saa takatifu, ibada ya Ekaristi. Kila Ijumaa wakati kama huu wa Kwaresma kuna Njia ya Msalaba, saa10.30 jioni hadi 12.00 jioni. Jumamosi nyingi kuna kufungisha ndoa, ikikosekana ni mara chache. Muda wowote siku yoyote Padre anaweza akahitajika kwenda kutoa sakramenti ya upako wa wagonjwa, na wagonjwa wengine ni wa corona.

Umeona jinsi ratiba ya mapadre ilivyo ngumu? Umeona jinsi inavyowalazimisha kukutana na watu?
 
Nafikiri kanisa likatafute Chanjo kwa watumishi wake. Wengi wao age yao 50+ na kazi yao inawafanya kukutana na watu hata wagonjwa kila siku.
kwani chanjo waliyopigwa wale vigogo waliopita hivi karibuni mbona walivuta??!!jamaa lijanja likawa linaskilizia kwanza watu wake wakipigwa itakuwaje!!jamaa sio boya kbs
 
Back
Top Bottom