TANZIA Padri Cephas Mgimwa Afariki Dunia

TANZIA Padri Cephas Mgimwa Afariki Dunia

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Aliyewahi kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), Padri Cephas Mgimwa amefariki leo katika Hospitali ya Teule ya Tosamaganga Iringa

Makamu Mkuu wa Chuo amesema katika tangazo la kifo kuwa taarifa za siku na eneo ambalo atazikwa zitatolewa

1616067046815.png
 
Poleni ndugu , jamaa na marafiki.

Kuweka kumbukumbu sawa huyu ni wa 30 sasa.
 
Hali ni mbaya kuliko maelezo! Madam President tunahitaji sasa kuona stern measures dhidi ya Corona na chanjo zikipatikana badala ya zile hadithi za Abunuwasi za "hakuna corona"!
 
Kiungwana Serikali inatakiwa imwombe radhi yule VC wa OUT Prof. Bisanda aliyewaomba jumuiya ya OUT kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19! MATAGA walimzodoa sana yule Profesa; nadhani huko aliko anajisemea "unaona sasa". Kwa hakika uongo ni wa kitambo ila ukweli hudumu milele!
 
Wewe ni mmoja ya kikosi kazi mlichotaka kumuua Lissu kwa kumchapa risasi na hatimaye Mungu kumuokoa.

Bado umejaa na hasira kuu ya kukosa kunywa damu yake uwaridhishe mabwana wako.

Hakika muda utaongea, mtatafutana hadi muingie nyavuni.!
Barikiwa mno. Watakufa mmoja baada ya mwingine. Lissu damu yake inaita bado
 
... kiungwana Serikali inatakiwa imwombe radhi yule VC wa OUT Prof. Bisanda aliyewaomba jumuiya ya OUT kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19! MATAGA walimzodoa sana yule Profesa; nadhani huko aliko anajisemea "unaona sasa". Kwa hakika huongo ni wa kitambo ila ukweli hudumu milele!
Hayo ni matokeo ya kuwa na miungu mtu na kuitukuza. Ukandamizaji na udikteta. Mungu ambariki prof wa OUT. Aishi miaka mingi ili ashuhudie wale waliombeza wakifyekwa na Covid 19 wote kabisa. Lete mvinyo
 
Back
Top Bottom