Padri Chesco asema Fr. Kitima anaongea japo amefungwa 'bandeji' kichwa kizima, tumuombee

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Mahojiano na Padri Chesco Msaga Naibu katibu Mkuu wa TEC baada yakwenda kumtembelea Father Kitima baada ya kushambuliwa

Padri Chesco amewahimiza Watu kumuombea Fr. Kitima ili arejee katika hali yake ya kawaida na kuendela na majukumu yake ndani ya kanisa. Pamoja na hayo ameomba Taifa taifa liombewe amani kwani tukio lilitokea halileti ishara nzuri kwa Taifa ambapo watu wamekuwa wakiishi kwa amni na mshkamano.
 
View attachment 3322613

Ni aibu sana kwa yeyote kuwa na uchu mkubwa wa madaraka kiasi hiki.

Hivi kama umefanya mengi mema, unafanya mema na utafanya mema tatizo gani?

Hata hivyo si tunaelezana kuwa kuchaguliwa ni ridhaa za wananchi na Mungu?

Kwa mtaji huu ngosha angeweza kutoboa, hata asiendewe japo kwa sangoma kweli?
 
Mahojiano na Padri Chesco Msaga Naibu katibu Mkuu wa TEC baada yakwenda kumtembelea Father Kitima baada ya kushambuliwa

Padri Chesco amewahimiza Watu kumuombea Fr. Kitima ili arejee katika hali yake ya kawaida na kuendela na majukumu yake ndani ya kanisa. Pamoja na hayo ameomba Taifa taifa liombewe amani kwani tukio lilitokea halileti ishara nzuri kwa Taifa ambapo watu wamekuwa wakiishi kwa amni na mshkamano.
View attachment 3322613
Kuombewa lishaombewa sana ni vile hakuna uwajibikaji kwa 7bu nchi ipo mikononi mwa wadhalimu
 
Back
Top Bottom