Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Mahojiano na Padri Chesco Msaga Naibu katibu Mkuu wa TEC baada yakwenda kumtembelea Father Kitima baada ya kushambuliwa
Padri Chesco amewahimiza Watu kumuombea Fr. Kitima ili arejee katika hali yake ya kawaida na kuendela na majukumu yake ndani ya kanisa. Pamoja na hayo ameomba Taifa taifa liombewe amani kwani tukio lilitokea halileti ishara nzuri kwa Taifa ambapo watu wamekuwa wakiishi kwa amni na mshkamano.
View attachment 3322613
Wamteme tu kwa maslahi mapana ya Taifa ila wananchi wakiamua jambo lao linawezekana ni swala la muda tuBora hata magufuli hohehahe na wasukuma waliokuwa wwnampenda kwa kila upuuzi afanyao....Sasa huyu CCM wanapata shida kumuuza....
Samia kaside na matajiri balaaBora hata magufuli hohehahe na wasukuma waliokuwa wwnampenda kwa kila upuuzi afanyao....Sasa huyu CCM wanapata shida kumuuza....
Kuombewa lishaombewa sana ni vile hakuna uwajibikaji kwa 7bu nchi ipo mikononi mwa wadhalimuMahojiano na Padri Chesco Msaga Naibu katibu Mkuu wa TEC baada yakwenda kumtembelea Father Kitima baada ya kushambuliwa
Padri Chesco amewahimiza Watu kumuombea Fr. Kitima ili arejee katika hali yake ya kawaida na kuendela na majukumu yake ndani ya kanisa. Pamoja na hayo ameomba Taifa taifa liombewe amani kwani tukio lilitokea halileti ishara nzuri kwa Taifa ambapo watu wamekuwa wakiishi kwa amni na mshkamano.
View attachment 3322613
mafisadi na wauza unga ndio wanaompa kiburi.Samia kaside na matajiri balaa