Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mhuni tu,anajua atakosa sadaka kwakeBado kuna mtumishi 'fake' anahubiri tusifuate ushauri wa kukaa mbali-mbali hasa ktika mikusanyiko, he's mad !
Sijui kwa nini hii 'niumonia' haitembelei chamwino kwa hao wapiga tantalila!
Nadhani ni typing error hapo juu. Ukisoma tangazo kwa ndani kafariki February 9.Kafa tarehe 9 January, ila katangazwa tarehe 10 February.
Kwanini ametangazwa mwezi mmoja baada ya kifo?
Nadhani ni typing error hapo juu. Ukisoma tangazo kwa ndani kafariki February 9.......
RIP padre. Ni kipindi ambacho tunatakiwa kuchukuwa tahadhari sana waungwana. Sana tena.