TANZIA Padri Constantine Santo Waporukwa Mlezi wa Star High School(Arusha) Afariki Dunia Kwa changamoto ya upumuaji

TANZIA Padri Constantine Santo Waporukwa Mlezi wa Star High School(Arusha) Afariki Dunia Kwa changamoto ya upumuaji

Hali ni tete Tanzania mnaficha nini
Tufiche nini kuhusu nini?
Kwani kuna kifo ambacho tatizo la upumuaji hahuhusiki?
Kama mtu kafa alafu bado anapumua tutasema kafa kweli??

Nb:

Kila kifo lazima kupumua kukata kwanza tusitishane.
 
Huyo padre wa star high Arusha, wanafanya kazi pamoja na padre Mushi, padre Mushi alienda Nairobi na mdogo wake.

Wote walirudi na Corona,mdogo wake padre Mushi tumemzika jana,na mama yake padre Mushi alizikwa week iliyopita baada ya kupata maambukizi kutoka kwa wanae.

MUNGU TUSIMAMIE, TUZIDI KUCHUKUA TAHADHARI NDUGU ZANGU.
 
Back
Top Bottom