Padri Kitima: Nani mwenye nguvu Nchini hii anayeshinda Vyombo vya Dola hadi kuteka na kuuwa Watu?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Sasa hivi Vyombo vya Habari haviko huru na kwasababu hiyo watu wanaona kwamba Viongozi wa Dini ni kama chimbo la taarifa. Mfano hivi majuzi umeona limetokea hili tatizo la watu wanatekwa, Watu wanauawa, unajiuliza ni nani mwenye nguvu nchi hii anayeshinda Vyombo vyetu vya Dola mpaka anaweza akateka, watu wakauawa?, tumeona kina Ally Kibao watu kama sisi [Padre Kitima] tumeshambuliwa"

Hivi ofisi kubwa kama TECH hawana security CAMERA?
 
Itabidi RC ifungiwe huduma hapa nchini
 
..jamani wachungaji, manabii, Mitume, makuhani, mapadri, mashehe, watemi na hata masangoma iomberni nchi pamoja na Viongozi wake....
 
Hebu RC fumbeni macho, tangazeni maandamano huru ya AMANI ya kutaka Katiba Mpya na tume huru na shiriikishi ya Uchaguzi this July
 
Aisee bonge la pini. Kanisa lina info zaidi kuhusu wauaji na hapo ni moja kwa moja mlengwa ujumbe umemfikia
 
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Sasa hivi Vyombo vya Habari haviko huru na kwasababu hiyo watu wanaona kwamba Viongozi wa Dini ni kama chimbo la taarifa. Mfano hivi majuzi umeona limetokea hili tatizo la watu wanatekwa, Watu wanauawa, unajiuliza ni nani mwenye nguvu nchi hii anayeshinda Vyombo vyetu vya Dola mpaka anaweza akateka, watu wakauawa?, tumeona kina Ally Kibao watu kama sisi [Padre Kitima] tumeshambuliwa"

Watupe majibu
 
Back
Top Bottom