Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hivi ofisi kubwa kama TECH hawana security CAMERA?Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Sasa hivi Vyombo vya Habari haviko huru na kwasababu hiyo watu wanaona kwamba Viongozi wa Dini ni kama chimbo la taarifa. Mfano hivi majuzi umeona limetokea hili tatizo la watu wanatekwa, Watu wanauawa, unajiuliza ni nani mwenye nguvu nchi hii anayeshinda Vyombo vyetu vya Dola mpaka anaweza akateka, watu wakauawa?, tumeona kina Ally Kibao watu kama sisi [Padre Kitima] tumeshambuliwa"
Kamera ya Kanisa ni mwenyewe Mungu wa mbinguniHivi ofisi kubwa kama TECH hawana security CAMERA?
Tech ni kampuni ya simu au kitu gani ?Hivi ofisi kubwa kama TECH hawana security CAMERA?
🤣Kamera ya Kanisa ni mwenyewe Mungu wa mbinguni
Si umeona imemmulika Ziwonders 😂
Kmmk 🤣🤣🙌Tech ni kampuni ya simu au kitu gani ?
Kmmk, 😁🙌Tech ni kampuni ya simu au kitu gani ?
🤣🤣🤣🤣 Hilo jiwe la gizani limerushwa ngoja tumsikie atakaye Lia yalaaa !!Ngoja aongee ili tuone nani atawehuka.
Hakuna kiongozi yoyote mwenye uwezo huo.Itabidi RC ifungiwe huduma hapa nchini
Muliro kwa approval ya bi sultaniKmmk, 😁🙌
🤣🤣🤣🤣 Hilo jiwe la gizani limerushwa ngoja tumsikie atakaye Lia yalaaa !!
Kampuni ya usafiri kati ya Duniani na Mbinguni!Tech ni kampuni ya simu au kitu gani ?
Watupe majibuKatibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Sasa hivi Vyombo vya Habari haviko huru na kwasababu hiyo watu wanaona kwamba Viongozi wa Dini ni kama chimbo la taarifa. Mfano hivi majuzi umeona limetokea hili tatizo la watu wanatekwa, Watu wanauawa, unajiuliza ni nani mwenye nguvu nchi hii anayeshinda Vyombo vyetu vya Dola mpaka anaweza akateka, watu wakauawa?, tumeona kina Ally Kibao watu kama sisi [Padre Kitima] tumeshambuliwa"