Padri Kitima: Unafiki na kusifia kila jambo ili kupata vyeo kutaliua Taifa

Padre Kitima ifike Mahala wambiwe ukweli kuwa hiyo Tabia anayoikemea Muasisi wake ni Jiwe Swahiba wake wa Karibu
 
Yule Sheikh Ubwabwa wa Dar nayeye alikuwepo ?
 
Kuna pimbi cjui niwatag 🀣🀣
 
Mapadre fanyeni kazi ya Mungu.

Maoni yenu kwa sasa yamechafuka.
Kweli ni kweli tu, iwe imetoka kwa mwanasiasa, kiongozi wa dini, mwananchi au serikali.
Watu huwa huru wanapojua na kuikubali kweli.
 
Tuliosoma SAUT Mwanza ( hasa Darasa langu la BAMC 2006 - 2009 ) na Kufundishwa nae Genius huyu Fr. Dk. Kitima wala hatushangai kwa huu Ukweli wake Kuntu na haya Madini yake Tukuka.

Siku zote Mwalimu Genius kama Fr. Dk. Kitima huzalisha Geniuses wengi kama GENTAMYCINE na kama Wewe ni Mzazi na hujampeleka Mwanao SAUT Mwanza ili akajengwe Kitaaluma, Kiakili na Kimaendeleo utakuwa umepata bonge la Hasara.
 
Mapadre fanyeni kazi ya Mungu.

Maoni yenu kwa sasa yamechafuka.
Hata hapo amefanya kazi ya Mungu kwa 'kuonya' mwenendo mbaya wa jamii kujipendekeza kwa watawala kwa kusifia kila kitu.
 
Hivi huyu padri anata tumuumbue alivyokuwa analala ba wanafunzinwa chuo kikuu cha sauti alipokuwa mkuu wa chuo?
 
Umenikumbusha Dr. Mihanjo kitivo cha Falsafa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam..

Hiyo ni Kategoriko Silojizim dah If P then Q, now P therefore Q..

Hatari sana Mwalimu Kashasha!
 
Huko ndio ukweli mchana kweupe peeh!!
Rudi kwenye magazeti yote ya Hapa nchini TZ angalia vichwa vya habari utapata ukweli wenyewe. Kila kukicha ni kusifia hata pale wananchi wanapigwa na TOZO utasikia Fulani kafanya/Katia pesa kadhaa! Kwani zimetoka mkononi au Kwa familia yake?? Ni Marehemu MENGI pekee aliyefanya kutoka mfukoni make.
Mfano kuwapa walenavu Chakula na huduma! Tangu aage dunia hii mashabiki ni hao walengwa.!

Kazi ya kufanya Maendeleo ni wajibu wa Serikali na sio mtu mmoja! Tuacheni hizi tabia za kusifia kila akisimama Waziri, Mbunge, Mkuu wa Mkoa/Wilaya lazima mtu Fulani atajwe! Ni Nini unachohofia kuwa usipomtaja utapoteza??
Maisha sio hiyo nafasi tu!!
 
U
Ulitaka waseme ili nao wapotezwe??
 
Hiyo ni Kategoriko Silojizim dah If P then Q, now P therefore Q..
When the MAJOR statement is WRONG, whatever the MINOR statement GOOD might be, the conclusion will be WRONG!

Deductive vs Inductive Reasoning: Make Smarter Arguments, Better Decisions, and Stronger Conclusions​

 
"........HAKI ZA BINADAMU HAZIOMBWI ZINAPIGANIWA
Haya ni maneno ya mtu wa Mungu kweli?
 

Padre Kitima anena na viongozi wa dini, tumekuwa wanafiki wa kisiasa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…