The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Mafisi yanataka yapewe uhuru wa kurarua wanadamu,kamwe yasiupate uhuru huo.Katibu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC) Padri Dkt. Charles Kitima ameendelea kusisitiza kuwa viongozi wa dini hawawezi kutenganishwa na siasa kwani viongozi hao kuiweka siasa pembeni ni kutokuelewa majukumu ya msingi kama viongozi wa dini.
Aidha amesema kinachofanya viongozi hao kuingia katika siasa ni kupeleka tunu walizokabidhiwa na mwenyezi Mungu kutoka kwenye biblia na Quaran huku akisisitiza kuwa siasa zote zilianza katika madhehebu.
View attachment 3161051
Video: Jambo TV
Tunu za biblia na Quaran zitatufikia popote tulipoMafisi yanataka yapewe uhuru wa kurarua wanadamu,kamwe yasiupate uhuru huo.