The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania, Padre Charles Kitima awavaa viongozi wa dini kwa kushindwa kukemea maovu yanayoendelea nchini humo hasa kupotezwa kijana Soka na wenzake, kuuawa kwa Mzee Kibao, awakemea wanaosema wasichanganye dini na siasa, awataka viongozi kujua mifumo yote mibovu na kutaka ifanyiwe mabadiliko kama ambavyo Deusdetith Soka alivyokuwa anafanya.
"Soka alikuwa anatetea demokrasia, kuchambua mifumo mibovu, haina ubaya wowote, unaweza ukazidisha ni wazi asa kama ni kijana tena si anajifunza ni kumlea si kumpoteza, sasa ameuawa na nani?inaweza ikawa ni majambazi, tusimzingizie mtu" - Padre Kitima.
Soma pia: Mwaka 2018 na Nyaraka 3 za Viongozi wa Dini juu ya Mustakabali wa Nchi yetu
Video: Jambo TV