Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania, Padre Charles Kitima awavaa viongozi wa dini kwa kushindwa kukemea maovu yanayoendelea nchini humo hasa kupotezwa kijana Soka na wenzake, kuuawa kwa Mzee Kibao, awakemea wanaosema wasichanganye dini na siasa, awataka viongozi kujua mifumo yote mibovu na kutaka ifanyiwe mabadiliko kama ambavyo Deusdetith Soka alivyokuwa anafanya.
"Soka alikuwa anatetea demokrasia, kuchambua mifumo mibovu, haina ubaya wowote, unaweza ukazidisha ni wazi asa kama ni kijana tena si anajifunza ni kumlea si kumpoteza, sasa ameuawa na nani?inaweza ikawa ni majambazi, tusimzingizie mtu" - Padre Kitima.

Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania, Padre Dkt. Charles Kitima, akionyesha kushangazwa na kitendo cha viongozi wa Dini kuwa kimya katika kukemea vitendo vya mauaji na kuteka watu vinavyoendelea nchini.
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania, Padre Charles Kitima awavaa viongozi wa dini kwa kushindwa kukemea maovu yanayoendelea nchini humo hasa kupotezwa kijana Soka na wenzake, kuuawa kwa Mzee Kibao, awakemea wanaosema wasichanganye dini na siasa, awataka viongozi kujua mifumo yote mibovu na kutaka ifanyiwe mabadiliko kama ambavyo Deusdetith Soka alivyokuwa anafanya.
"Soka alikuwa anatetea demokrasia, kuchambua mifumo mibovu, haina ubaya wowote, unaweza ukazidisha ni wazi asa kama ni kijana tena si anajifunza ni kumlea si kumpoteza, sasa ameuawa na nani?inaweza ikawa ni majambazi, tusimzingizie mtu" - Padre Kitima.
actualy,
hata kanisa katoliki likiendelea kuhubiri chuki na migawanyiko kwa hisia za kisiasa, waamini wake watachoka na watagawanyika na hivyo kanisa kupasuka