Padri mcharo ananimaliza

Padri mcharo ananimaliza

Hahahaa nasubiri apa comment ya mtu flan


Hivi mtoa mada na ww ni evolution ya binadamu kweli na mashaka na ww ...utakua evulution ya mende..(in connor voice) rubbish idiot
I'm here waiting for your offer ma'am. [emoji7] [emoji7]
 
Hii siku ya Valentine na kukimbiza Mwenge ni vyanzo vikubwa vya kueneza maradhi ikiwemo HIV ingelikuwa kwa uwezo wangu vingepigwa marufuku!!
 
Natamani kuwa na huyu mwanaume kwenye siku ya valentine day,aniambie popote alipo ntamfata kwa gharama zangu,ananikosha sana nyonga zangu,simmalizi nikimfikiria, niitieni anitoe hamu nataka kuspend nae tu hizo siku mbili tatu kila mtu asepe,basi akinitosa niitieni Connor mzee wa rubbish nae namkubali si kidogo
Mmojawapo hapo ajitolee kunipa raha,wakinitosa wote aje The Mason atanitosha hivyo hivyo tu sizili mimi
Nawatakia happy valentine days
duh
 
Back
Top Bottom