Unalidhalilisha kanisa katoliki??Padri alikuwa anafuga kuku. Siku moja jogoo akapotea. Basi akaamua kutangaza Kanisani.
PADRI: Wangapi wana jogoo? Wanaume wote wakasimama.
PADRI: Sio hivyo jamani! Wangapi wameona jogoo? Wanawake wote wakasimama.
PADRI: Loh! Hamjanielewa ndugu zanguni! Wangapi wamemuona jogoo wangu?? Masista wote wakasimama.
PADRI akapoteza fahamu...!!
Katafute movie ya ray&Iran uwoya inaitwa sister marry .Unalidhalilisha kanisa katoliki??
Mungu anakuona, atakulipa kwa kadiri anavyoona inafaa...
Huo muda wa kuangalia Bongo movie ntaupata wapi...Katafute movie ya ray&Iran uwoya inaitwa sister marry .
Nahisi utaelewa.....
Yangu...hayo...
Pia ni ww wasema so lengo langu...
That why IPO huku..hii threads
Mi sijatisha mtu ila nimetahadharisha tu...OK... ...wazeee wakutisha watu
Mi sijatisha mtu ila nimetahadharisha tu...
Ahsante ntajitahidi, ila ngoja nimwachie Mungu atende miujiza yake.OK...but expand your thinking Capacity ...il mind yako ijue wot I targert na why...
Hahahahahaaaa LOLMkuu, unaweza kuua bila kukusudia! [emoji23][emoji23]... Unamtisha na mambo ya kuhamisha Tabenakro! [emoji1]
Padri alikuwa anafuga kuku. Siku moja jogoo akapotea. Basi akaamua kutangaza Kanisani.
PADRI: Wangapi wana jogoo? Wanaume wote wakasimama.
PADRI: Sio hivyo jamani! Wangapi wameona jogoo? Wanawake wote wakasimama.
PADRI: Loh! Hamjanielewa ndugu zanguni! Wangapi wamemuona jogoo wangu?? Masista wote wakasimama.
PADRI akapoteza fahamu...!!
Ha ha ha ha ha ha.....Laana inakunyemelea. Si kila kitu ni utani, mambo mengine yanahitaji ukomavu wa kiakili, kiumri, kiimani, kijamii, nk. Hapa umeonyesha utoto.
Miujiza IPO kichwani kwako...huo ndo utashi muweza alitupa...ndio maana hata mchawi atenda miujiza...Ahsante ntajitahidi, ila ngoja nimwachie Mungu atende miujiza yake.
Shauri zako... Badala ya kutubu unaleta kiburi.Miujiza IPO kichwani kwako...huo ndo utashi muweza alitupa...ndio maana hata mchawi atenda miujiza...
You can't wait for miracle ambayo unaweza Fanya mwenyewe...nyinyi ndo wale mnaosema simpeleki mwanangu shule mpaka serikali itangaze....
Duuh....nitubu kwa your judgment...Shauri zako... Badala ya kutubu unaleta kiburi.
Ewaaaa... hapo unaanza kurudi kwenye mstari sasa...Duuh....nitubu kwa your judgment...
Siwez na kingine...sioni kibri yoyote niliyofanya...kukuelezea ukweli...!??
Ewe muweza wa yote...najua wafahamu nini nililenga....pia hata kwa tafsili yao hao...wasibitisha/yaonyesha hayo mambo yapo...na kama hayapo...
Wasingeelewa ni kama Mimi niandike "" @*%£#57£*Nngsxbjig kgtx®©€$π×¶∆][™™℅√`©®=℅ cjvbjfhjnkigtssj"
Halafu mtu aseme nimemtusi Wakili flani...hii ni kwasababu hakuna maana ya manenk hayo...so nipo sasa...
Na barka zako nitapata..
Hayo mafundisho ya ndani kabisa. Siyo aibu.Unalidhalilisha kanisa katoliki??
Mungu anakuona, atakulipa kwa kadiri anavyoona inafaa...