Padri na Jogoo...

Padri na Jogoo...

kapesly

Senior Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
163
Reaction score
108
Padri alikuwa anafuga kuku. Siku moja jogoo akapotea. Basi akaamua kutangaza Kanisani.
PADRI: Wangapi wana jogoo? Wanaume wote wakasimama.
PADRI: Sio hivyo jamani! Wangapi wameona jogoo? Wanawake wote wakasimama.
PADRI: Loh! Hamjanielewa ndugu zanguni! Wangapi wamemuona jogoo wangu?? Masista wote wakasimama.
PADRI akapoteza fahamu...!!
 
Unalidhalilisha kanisa katoliki??

Mungu anakuona, atakulipa kwa kadiri anavyoona inafaa...
 
Katafute movie ya ray&Iran uwoya inaitwa sister marry .

Nahisi utaelewa.....

Yangu...hayo...
Pia ni ww wasema so lengo langu...
That why IPO huku..hii threads
 
Huo muda wa kuangalia Bongo movie ntaupata wapi...

Mi nimemuachia Mungu asemezane na wewe...
 
OK... ...wazeee wakutisha watu
 
Attachments

  • IMG_20180609_015912.jpg
    IMG_20180609_015912.jpg
    51.3 KB · Views: 67
Padri alikuwa anafuga kuku. Siku moja jogoo akapotea. Basi akaamua kutangaza Kanisani.
PADRI: Wangapi wana jogoo? Wanaume wote wakasimama.
PADRI: Sio hivyo jamani! Wangapi wameona jogoo? Wanawake wote wakasimama.
PADRI: Loh! Hamjanielewa ndugu zanguni! Wangapi wamemuona jogoo wangu?? Masista wote wakasimama.
PADRI akapoteza fahamu...!!

Laana inakunyemelea. Si kila kitu ni utani, mambo mengine yanahitaji ukomavu wa kiakili, kiumri, kiimani, kijamii, nk. Hapa umeonyesha utoto.
 
Ha ha ha ha ha ha.....
Tatizo LA ufinyu wa fikra...
Unatafsiri kijinga...
Story...IPO katika form ambayo unaweza imalizia ...imean hata chekechea anaweza malizia ..kwa namna hii...

"Padri anakuja kuzinduka,kwa furaha na bashasha zilimfanya azimie kwani hakuamin kua jinsi gani jogoo wako masista wanamjua...yaani kila sista anafahamu mifugo ya padri hasa kuku wake...."

Kuna kingine...au umeshafungua mind yako...halafu padri...ni mtu kama ww,wala hausiani kabisa na MUWEZA wa YOTE,...siogopi laana uchwala....
Amin amin nakwambia "Usihukumu kabla hujahukumiwa"
 
Ahsante ntajitahidi, ila ngoja nimwachie Mungu atende miujiza yake.
Miujiza IPO kichwani kwako...huo ndo utashi muweza alitupa...ndio maana hata mchawi atenda miujiza...

You can't wait for miracle ambayo unaweza Fanya mwenyewe...nyinyi ndo wale mnaosema simpeleki mwanangu shule mpaka serikali itangaze....
 
Shauri zako... Badala ya kutubu unaleta kiburi.
 
Duuh....nitubu kwa your judgment...
Siwez na kingine...sioni kibri yoyote niliyofanya...kukuelezea ukweli...!??

Ewe muweza wa yote...najua wafahamu nini nililenga....pia hata kwa tafsili yao hao...wasibitisha/yaonyesha hayo mambo yapo...na kama hayapo...
Wasingeelewa ni kama Mimi niandike "" @*%£#57£*Nngsxbjig kgtx®©€$π×¶∆][™™℅√`©®=℅ cjvbjfhjnkigtssj"

Halafu mtu aseme nimemtusi Wakili flani...hii ni kwasababu hakuna maana ya manenk hayo...so nipo sasa...
Na barka zako nitapata..
 
Ewaaaa... hapo unaanza kurudi kwenye mstari sasa...
 
Back
Top Bottom