Padri Radislaus Mgaya: Ukiona Upara, Mvi, Makunyanzi maana yake kifo kimekaribia, hiyo ni ishara

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Padri Radislaus Mgaya, Paroko wa Parokia ya Mlangali, amewataka waumini kutambua thamani ya maisha na kutumia mabadiliko yanayotokea mwilini kadiri umri unavyoongezeka kama ukumbusho wa kujiandaa kwa mwisho wa maisha.

Padri Mgaya ametoa kauli katika Kijiji cha Lusitu wakati wa mazishi ya aliyekuwa Diwani wa Kata ya Madope, Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, Patrick Alfonce Mgaya, aliyefariki dunia Septemba 11, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe na kuzikwa Septemba 14, 2026.

Padre mgaya anasema binadamu anavyopaswa kutumia mabadiliko ya mwili wake kutafakari maisha na mwisho wake, na kueleza kwa alama za upara, mvi na makunyanzi usoni kuwa miongoni mwa alama anazozitumia kumkumbusha mwanadamu kuhusu kupita kwa muda na mwisho wa maisha.

Ameongeza kuwa mvi pia zinaweza kuwa ukumbusho kwa mwanadamu kwamba muda wa kuishi unapita, akisisitiza umuhimu wa kuwa tayari wakati wote.Padri Mgaya pia ametaja makunyanzi usoni kama sehemu ya mabadiliko ya mwili yanayopaswa kumfanya mwanadamu kutafakari kuhusu maisha na hatima yake.
 
u maisha na hatima yake.
 
Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 6
Padri Radislaus Mgaya, Paroko wa Parokia ya Mlangali, amewataka waumini kutambua thamani ya maisha na kutumia mabadiliko yanayotokea mwilini kadiri umri unavyoongezeka kama ukumbusho wa kujiandaa kwa mwisho wa maisha.Padri Mgaya ametoa kauli katika Kijiji cha Lusitu wakati wa mazishi ya aliyekuwa Diwani wa Kata ya Madope, Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, Patrick Alfonce Mgaya, aliyefariki dunia Septemba 11, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe na kuzikwa Septemba 14, 2026.Padre mgaya anasema binadamu anavyopaswa kutumia mabadiliko ya mwili wake kutafakari maisha na mwisho wake, na kueleza kwa alama za upara, mvi na makunyanzi usoni kuwa miongoni mwa alama anazozitumia kumkumbusha mwanadamu kuhusu kupita kwa muda na mwisho wa maisha.Ameongeza kuwa mvi pia zinaweza kuwa ukumbusho kwa mwanadamu kwamba muda wa kuishi unapita, akisisitiza umuhimu wa kuwa tayari wakati wote.Padri Mgaya pia ametaja makunyanzi usoni kama sehemu ya mabadiliko ya mwili yanayopaswa kumfanya mwanadamu kutafakari kuhusu maisha na hatima yake.
dah,
jamaani sasa itakuaje,

kijana mwaka wa kwanza tu chuo upara unag'aa kama bati jipya,
na hata ajira haijapatikana mvi kama zote na bado kuishi nyumbani kwa wazazi, kijana hana kiwanja wala mtoto wa kusingiziwa na yuko below35.

Padre mbona kama anachochea na kuwaharakisha vijana ku RIP mapema zaidi? :NoGodNo:
 
Padri Radislaus Mgaya, Paroko wa Parokia ya Mlangali, amewataka waumini kutambua thamani ya maisha na kutumia mabadiliko yanayotokea mwilini kadiri umri unavyoongezeka kama ukumbusho wa kujiandaa kwa mwisho wa maisha.
Huyo baba padre vipi, kwa watoto wachanga na vijana wabichi wanaokata moto mapema kawaweka fungu gani?

Suala la kufa linawahusu binadamu wa rika zote.

Ingawa binadamu ana mwisho, lakini ni wachache sana wanaotunukiwa kifo cha uzee, wengi hufa kwa ajali na magonjwa yasiyo ya kuambukizwa.

Mtu wa miaka 80 ama 100, kwa nini anyenyekewe matibabu?

Jua kwamba stahili ya kupokea kifo cha lazima cha uzee haijafika.
Mahubiri yangeelekezwa kukaa tayari kwa yeyote.
 
Mwambie kuwa kuzeeka ni lazima bali kuchakaa ni uzembe! Hata nguo mpya huzeeka na kuchakaa nayo ijiandae?
 
Padri Radislaus Mgaya, Paroko wa Parokia ya Mlangali, amewataka waumini kutambua thamani ya maisha na kutumia mabadiliko yanayotokea mwilini kadiri umri unavyoongezeka kama ukumbusho wa kujiandaa kwa mwisho wa maisha.

Padri Mgaya ametoa kauli katika Kijiji cha Lusitu wakati wa mazishi ya aliyekuwa Diwani wa Kata ya Madope, Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, Patrick Alfonce Mgaya, aliyefariki dunia Septemba 11, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe na kuzikwa Septemba 14, 2026.

Padre mgaya anasema binadamu anavyopaswa kutumia mabadiliko ya mwili wake kutafakari maisha na mwisho wake, na kueleza kwa alama za upara, mvi na makunyanzi usoni kuwa miongoni mwa alama anazozitumia kumkumbusha mwanadamu kuhusu kupita kwa muda na mwisho wa maisha.

Ameongeza kuwa mvi pia zinaweza kuwa ukumbusho kwa mwanadamu kwamba muda wa kuishi unapita, akisisitiza umuhimu wa kuwa tayari wakati wote.Padri Mgaya pia ametaja makunyanzi usoni kama sehemu ya mabadiliko ya mwili yanayopaswa kumfanya mwanadamu kutafakari kuhusu maisha na hatima yake.
Asante kwa hiyo clip, Fr. Mbaya huwa namsikia tu Radio Maria, Sauti ya Kikristo Nyumbani Mwako, kwenye kipindi cha Sheria za Kanisa. Angalau leo nimemwona!
 
Back
Top Bottom