Padri Radislaus Mgaya, Paroko wa Parokia ya Mlangali, amewataka waumini kutambua thamani ya maisha na kutumia mabadiliko yanayotokea mwilini kadiri umri unavyoongezeka kama ukumbusho wa kujiandaa kwa mwisho wa maisha.
u maisha na hatima yake.
dah,Padri Radislaus Mgaya, Paroko wa Parokia ya Mlangali, amewataka waumini kutambua thamani ya maisha na kutumia mabadiliko yanayotokea mwilini kadiri umri unavyoongezeka kama ukumbusho wa kujiandaa kwa mwisho wa maisha.Padri Mgaya ametoa kauli katika Kijiji cha Lusitu wakati wa mazishi ya aliyekuwa Diwani wa Kata ya Madope, Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, Patrick Alfonce Mgaya, aliyefariki dunia Septemba 11, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe na kuzikwa Septemba 14, 2026.Padre mgaya anasema binadamu anavyopaswa kutumia mabadiliko ya mwili wake kutafakari maisha na mwisho wake, na kueleza kwa alama za upara, mvi na makunyanzi usoni kuwa miongoni mwa alama anazozitumia kumkumbusha mwanadamu kuhusu kupita kwa muda na mwisho wa maisha.Ameongeza kuwa mvi pia zinaweza kuwa ukumbusho kwa mwanadamu kwamba muda wa kuishi unapita, akisisitiza umuhimu wa kuwa tayari wakati wote.Padri Mgaya pia ametaja makunyanzi usoni kama sehemu ya mabadiliko ya mwili yanayopaswa kumfanya mwanadamu kutafakari kuhusu maisha na hatima yake.
Huyo baba padre vipi, kwa watoto wachanga na vijana wabichi wanaokata moto mapema kawaweka fungu gani?
Padri Radislaus Mgaya, Paroko wa Parokia ya Mlangali, amewataka waumini kutambua thamani ya maisha na kutumia mabadiliko yanayotokea mwilini kadiri umri unavyoongezeka kama ukumbusho wa kujiandaa kwa mwisho wa maisha.
Asante kwa hiyo clip, Fr. Mbaya huwa namsikia tu Radio Maria, Sauti ya Kikristo Nyumbani Mwako, kwenye kipindi cha Sheria za Kanisa. Angalau leo nimemwona!Padri Radislaus Mgaya, Paroko wa Parokia ya Mlangali, amewataka waumini kutambua thamani ya maisha na kutumia mabadiliko yanayotokea mwilini kadiri umri unavyoongezeka kama ukumbusho wa kujiandaa kwa mwisho wa maisha.
Padri Mgaya ametoa kauli katika Kijiji cha Lusitu wakati wa mazishi ya aliyekuwa Diwani wa Kata ya Madope, Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, Patrick Alfonce Mgaya, aliyefariki dunia Septemba 11, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe na kuzikwa Septemba 14, 2026.
Padre mgaya anasema binadamu anavyopaswa kutumia mabadiliko ya mwili wake kutafakari maisha na mwisho wake, na kueleza kwa alama za upara, mvi na makunyanzi usoni kuwa miongoni mwa alama anazozitumia kumkumbusha mwanadamu kuhusu kupita kwa muda na mwisho wa maisha.
Ameongeza kuwa mvi pia zinaweza kuwa ukumbusho kwa mwanadamu kwamba muda wa kuishi unapita, akisisitiza umuhimu wa kuwa tayari wakati wote.Padri Mgaya pia ametaja makunyanzi usoni kama sehemu ya mabadiliko ya mwili yanayopaswa kumfanya mwanadamu kutafakari kuhusu maisha na hatima yake.
Hamainishi mvi na vipawa vyao utotoni.yeye anaongelea namba ,umri hivyo vingine anavunja sana tu .tujadili kuhusu umri.Kuna watu tuna mvi Toka utotoni padri aache uongo