Pre GE2025 Padri Silvio Mnyifuna, ataka 2025 Samia aendelee ili wahuni wasipate nafasi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Huyu ni Padri huko jimbo Katoliki,Mafinga, Iringa....Kwa sasa nyota ya SSH haishikiki, inakimbia kwa kasi ya mwanga au sauti. Si kwa wananchi wa kawaida, walimu na kila kada, kila kona ni Samia, sasa kishindo cha Samia kimefika katika kanisa katoliki.

Watumishi wa Mungu ni moja kati ya watu wenye maono ambayo huonyeshwa na Mungu, na ujumbe wake si wa kudharau.

Samia Suluhu Hassan, NaHapaipoMitanoTena.

 
Endeleeni tu kumpigia chapuo huku ukweli mkiwa mnaufahamu fika. Hadi ikifika 2030 mtajikuta wengi wenu tayari ni watumwa kamili wa Waarabu, Wahindi na Wachina kwa mara nyingine tena.

Maana dalili zote zinaonekana.
 
Wakati wa huni wanampiga mno nyuma yake.
 
Admin tunaomba nyuzi za aina hii zifutwe. Hazina nia njema ya kujenga nchi.
 
Hasara ya kutawaliwa na visiwani kupitia huyu bibi mtaiona 2030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…