Padri Titus Amigu: Kwanini tunasheherekea Sikukuu ya Krismasi?

Padri Titus Amigu: Kwanini tunasheherekea Sikukuu ya Krismasi?

Inaonekana wewe unafurahia kutoenda kazini
Yaani mimi na sikukuu ni hivi🫶, hata kama kuna sikukuu ya shetani. Ikiwekwa kwenye calendar mi napita nayo tuuu. Hawa watu wa dini ukiwasikiliza sana wote wanabishana vitu ambavyo ancestors wao walivianzisha kwa kula bata tu hata hawakucomplicate kihiivyo.
 
Umesoma uzi na kufunguka mawazo au umebaki hivyohivyo kama kabla ya kuusoma?
Tangu 2000 sijui mlango wa kanisa, mtu asinifundishe namna ya kumwabudu Mungu wangu. Mungu wangu ninamjua moyoni mwangu. Sijafunguka baada ya kusoma uzi, ni siku nyingi, nilikuwa nasikilizia tu.
 
Tangu 2000 sijui mlango wa kanisa, mtu asinifundishe namna ya kumwabudu Mungu wangu. Mungu wangu ninamjua moyoni mwangu. Sijafunguka baada ya kusoma uzi, ni siku nyingi, nilikuwa nasikilizia tu.
Beba kilago chako urudi nyumbani.Safari ni ndefu.
 
Kwani bado kuna Wajinga mnaamini katika Ibada hizi za kishetani?
 
Sio alama za uislamu na hazitumiwi katika ibada , msikiti mingi mkubwa haina.
Misikiti "mingi" mikubwa Haina ..ila midogo inayo!??... Mkubwa na midogo ipi ni mingi!?? Wanaosali katika midogo wanakuwa sio waislamu!??
 
Back
Top Bottom