TANZIA Padri Wilfrid Dinho Wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora Afariki Dunia

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
29,909
Reaction score
32,414

Maneno haya hapa Ni kutoka kwenye fb page ya Askofu Kilaini.

Kwaheri Fr. Wilfrid Dinho. Pole sana Baba Ruzoka na wana Tabora ndugu na jamaa. . Huyu Fr. Dinho ni mmojawapo wa classmates wangu wachache waliokuwa wamebaki.

Tulipanga mwaka kesho tusheherekee pamoja miaka 50 ya upadre. Utuombee huko mbinguni.

Kwaheri rafiki yangu tulicheza pamoja basketball Ntungamo.

Tumwombee Mungu amlaze mahali pema mbinguni amina.
 
Naogopaaaaa ila hakuna namna.
Apumnzike kwa amani padri huyo😪
 
ITALY WALIISHA MAPADRE RIP
KANISANI KUKAOGOPEKA AITAKUWA KWETU NJESUS NAME
 
Wa 27 huyu kwa mujibu wa TEC.
 
Huyu atakuwa wa 26.

Lord help us!
 
RIP Fr. Wilfrid Dinho na pole nyingi kwa wanaTabora na kanisa Katoliki.

Idadi ya wahanga waliotangulia mbele ya haki aliyotupa Father Dr. Kitima wa TEC Baraza la Maaskofu inazidi kuongezeka.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Pole sana Askofu Ruzoka, Mapadre wenzake na Wakatoliki kwa ujumla wa Jimbo kuu la Tabora. Mungu amrehemu na kumpumzisha pema peponi. Amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…