Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Hahaaaaaa yule msemauongo wao hahaaaaaaaaa , ana PHd ambayo Kafundishwa na Kitima leo anadai Kitima hana Mamlaka , Matumbo haya , sawa bana ngoja tuone watakakoishia maana kwa sasa wako karibu na Mungu wao anayependa kutukuzwa Mungu wa KabudiYule msema uongo wa Serikali haramu amedai kutangaza vifo hairuhusuwi kuna mamlaka husika ya kutangaza vifo. Tujiulize Watanzania ni vifo vingapi vya hii COVID-19 vimeshatangazwa na hii Serikali haramu? Jibu wote tunalijua.
Ni nani aliyezuia chanjo ya korona tanzania? Ni kanisa? Ni nani aliye entertain kutokuvaa barakoa? Ni kanisa? Ni nani aliyetangaza kuwa tanzania haina korona? Aliyedai kuwa corona "imekoronea mbari huko" si mkubwa wa nchi? Au ni askofu?Mimi nawashangaa akina Father Kitima, kazi kulaumu serikali tu wakati wao kama kanisa wamechukua hatua gani? wafunge makanisa hadi janga hili lipungue, Italy na Ulaya walifunga. Hapa nini kinashindikana? Kututajia idadi ya mapadre na ma sister wanaokufa sio suluhisho hata kidogo, kanisa wachukue hatua wao, maana jumuia zinaendelea, mikusanyiko makanisani inaendelea, alafu akifa padre lawama kwa serikali, kwani serikali ndio imewaua? kipi kigumu wasisitishe kanisa kwa miezi kadhaa? Au hawaoni Italy etc
Kwenye hili ni tofauti mkuu,leo asubuhi waziri ametoa statement ya serikali kwa msisitizo kuwa ni marufuku kutangaza hata vifo vya wapendwa wetu,huko mwanzo hatukuwahi kuzuiwa kufanya hivyo,zamani ikitokea tatizo la mlipuko wa maradhi serikali ilitoa taarifa na kusisitiza kuwa kila atakayepata ujumbe huu amwarifu na mwenzake,kwenye hili tunaambiwa hata kama una taarifa kaa kimya!! Usimwambie yeyote,zamani kipindupindu kiliitwa kipindupindu hivyohivyo,na mtu akifa kwa kipindupindu tuliambiwa wazi ili wengine tuchukue tahadhari,leo huruhusiwi hata kutamka neno corona mbele ya wenye mamlaka,toka kitambo tuliambiwa kuwa chanjo ni haki ya kila mtu,ila chanjo ya corona imekuwa haramu kwa nchi yetu tu! Tafakari,na ujue si kila hatua una haki ya kuchukua,hasa ukiwa mtanzaniaUsiishie kumlaumu mtu wakati una nafasi ya kuchukua hatua za kukuponya. Mwaka jana kuna Askofu alisitisha ibada kwenye jimbo lake na Serikali haikumuingilia. Tusilaumu kwa sababu tuna chuki na mtu fulani haitosaidia
Muwe mnatangaza na waliozaliwaHuyu atakuwa wa 26.
Lord help us!
kwani amekufa kwa corona??Apumzike kwa amani Fr. Wilfrid.
Chanjo ya bure kwenye ule mpango wa COVAX wa WHO ingeweza kumnusuru Padre huyu.
View attachment 1717503
Tuweke kwenye rekodi. Roho nyingine yapotea kizembe.
Tumbo babaKwenye hili ni tofauti mkuu,leo asubuhi waziri ametoa statement ya serikali kwa msisitizo kuwa ni marufuku kutangaza hata vifo vya wapendwa wetu,huko mwanzo hatukuwahi kuzuiwa kufanya hivyo,zamani ikitokea tatizo la mlipuko wa maradhi serikali ilitoa taarifa na kusisitiza kuwa kila atakayepata ujumbe huu amwarifu na mwenzake,kwenye hili tunaambiwa hata kama una taarifa kaa kimya!! Usimwambie yeyote,zamani kipindupindu kiliitwa kipindupindu hivyohivyo,na mtu akifa kwa kipindupindu tuliambiwa wazi ili wengine tuchukue tahadhari,leo huruhusiwi hata kutamka neno corona mbele ya wenye mamlaka,toka kitambo tuliambiwa kuwa chanjo ni haki ya kila mtu,ila chanjo ya corona imekuwa haramu kwa nchi yetu tu! Tafakari,na ujue si kila hatua una haki ya kuchukua,hasa ukiwa mtanzania
Atawaombeaje mtu akiyekufa,tena marehemu,nyie wazima ndiyo wa kumuombea na matendo yake mema aliyoyaacha duniani
Maneno haya hapa Ni kutoka kwenye fb page ya Askofu Kilaini.
Kwaheri Fr. Wilfrid Dinho. Pole sana Baba Ruzoka na wana Tabora ndugu na jamaa. . Huyu Fr. Dinho ni mmojawapo wa classmates wangu wachache waliokuwa wamebaki.
Tulipanga mwaka kesho tusheherekee pamoja miaka 50 ya upadre. Utuombee huko mbinguni.
Kwaheri rafiki yangu tulicheza pamoja basketball Ntungamo.
Tumwombee Mungu amlaze mahali pema mbinguni amina.
Apumzike kwa amani Fr. Wilfrid.
Chanjo ya bure kwenye ule mpango wa COVAX wa WHO ingeweza kumnusuru Padre huyu.
View attachment 1717503
Tuweke kwenye rekodi. Roho nyingine yapotea kizembe.
brazaj umesha hama kwenye Barakoa Sasa uko kwenye kupiga Kampeni ya Chanjo! Usiogope sana kila nafsi lazima itaonja umauti,yote ni Mipango yake Mungu!!Apumzike kwa amani Fr. Wilfrid.
Chanjo ya bure kwenye ule mpango wa COVAX wa WHO ingeweza kumnusuru Padre huyu.
View attachment 1717503
Tuweke kwenye rekodi. Roho nyingine yapotea kizembe.
Hata Watu poa nao hufariki pia, ndiyo Dunia ilivyo!!Alikuwa mtu poa sana huyu padre, roho imeniuma sana. Mwalimu wangu wa kwanza wa Engilish. Kila jioni nilikuwa naenda ananifundisha English pale kwa ma padre. Dah.. imeniuma sana.