TANZIA Padri Wilfrid Dinho Wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora Afariki Dunia

Ameniuma sana, bado naona picha yake inakuja kichwani full, kipe kipindi tunakaa pamoja na kuongea mambo kadha kunifundisha na kunipa moyo na kunijengea moyo wa kujiamini katika uwezo wangu. [emoji58][emoji58]
Sasa mbona huo Moyo wa kujiaamini aliyokujengea Padri haoneshi kwenye kifo chake!? Unalalamika Kama vile kifo ni uonevu!!
 
Wakisitisha Kanisa,na Sadaka zitasitishwa pia!!
 
Usiwashangae . Nchi hii tumejiwekea kitanzi sisi wenyewe. Kuna mtu amepewa mamlaka za kimbingu na katiba ya nchi, na jambo lisilompendeza yeye basi inatakiwa wote mlichukie bila kuhoji . Hapo ndipo tulipokwamia
Kwani makanisa si yao kwanini wasiyafunge kwa muda?
 
brazaj umesha hama kwenye Barakoa Sasa uko kwenye kupiga Kampeni ya Chanjo! Usiogope sana kila nafsi lazima itaonja umauti,yote ni Mipango yake Mungu!!

Barakoa na chanjo zote zinapambana na yule yule. Covid 19 na wajukuu zake. Wewe huna habari hiyo?

Kuhusiana na kila nafsi kuonja mauti palikuwa na uzi hapa. Nadhani unakuhusu sana jombi:


Kwa vile utaonja mauti unaona je kama ukayaonja leo hii mkuu?
 
Ni nani aliyezuia chanjo ya korona tanzania? Ni kanisa? Ni nani aliye entertain kutokuvaa barakoa? Ni kanisa? Ni nani aliyetangaza kuwa tanzania haina korona? Aliyedai kuwa corona "imekoronea mbari huko" si mkubwa wa nchi? Au ni askofu?
Nani kakudanganya kuwa waliochanjwa hawaendelei na tahadhari?


Hebu kasome WHO wamesemaje?
 
Hiyo chanjo bado sio suluhisho bwashee
 
Padri alietangaza vifo vya wenzie amevaa barakoa kiroho na yeye!!!
Corona imeleta misuguano hatari
 
Kwa hili nakuunga mikono na miguu. Naishi karibu na kabisa la Roma shughuli zinaendelea kama kawaida ibada 3, wanaovaa barakoa hata robo hawafiki, idadi ya watu ndio usiseme. Waumini ndio wanawaletea watumishi. Hata hili nalo atalaumiwa Magufuli? .Wachukue hatua.
 
brazaj umesha hama kwenye Barakoa Sasa uko kwenye kupiga Kampeni ya Chanjo! Usiogope sana kila nafsi lazima itaonja umauti,yote ni Mipango yake Mungu!!
Alianzia lockdown, akaja quarantine, akaja barakoa akasahau maji tiririka na Sasa yuko kwenye chanjo, maskini anaishia kusaidia mabwana zake tu hizi kelele lakini serikali yake haina habari na yeye.
 
Padri alietangaza vifo vya wenzie amevaa barakoa kiroho na yeye!!!
Corona imeleta misuguano hatari
Comments zako zinahuzunisha . MnatakaJe, kwakuwa mheshimiwa anataka twende kienyeji ndiyo tutasalimika na Corona ?!
 
Sasa mbona huo Moyo wa kujiaamini aliyokujengea Padri haoneshi kwenye kifo chake!? Unalalamika Kama vile kifo ni uonevu!!
Wapi nimelalamika ? Alafu unaelewaje maana ya Moyo wa kujiamini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…