paediatricians au wazazi wa watoto wenye miaka6 au zaidi naomba msaada

rakeyescarl

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2007
Posts
481
Reaction score
147
Ndugu zangu salama?
Naomba kujua kama nina mtoto wa miaka 6.
1)Naweza kupata wapi utaalamu wa kumfanya kama watoto wengine awe na hamu ya kijisomea,bila vitisho.eg kwenye bus akiwa na kitabu akitoe mwenyewe ajisomee?Nahisi ndio inaitwa self motivation.

2)Kuna wakati nilifikiri ana matatizo ya miguu lakini hospitali ya CCBRT-DAR wakasema hapana ni kawaida hiyo miguu ilivyo.
Lakini muda ulivyokwenda sasa ana tatizo la kutoboa socks-huwa hazidumu zaidi ya siku 14 hata kama ni stockings.

3)La mwisho ni kuwa kama yuko kwenye michezo eg kukimbia shuleni,hata waalimu wanaogopa jinsi anavyodondoka mara kwa mara.
Kichwani yuko sawa na anafanya vizuri shuleni.
Naomba msaada kama hata mnajua wapi au nani anaweza kunipatia tiba

.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…