Pafyum ya kiume...

Pafyum ya kiume...

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Wadau, mimi nishachoka sasa kuishi bila kaunyuyu kidogo. Nina kahela kangu hapa hakazidi 25k naomba mnifahamishe pafyum nzuri ya ki-gentleman ambayo hata nikikaa na mtoto mzuri awish kuchill na mim muda wote.

Wekeni majina ya pafyum za ki-gentlemen tu hapa ambazo hazipungui 20k na hazizidi 25k
 
Perfume za kupima zile vipi? Japo mimi sijawahi kutumia labda aliewahi tumia atupe ushuhuda kama zipo vizuri.
Na kama zipo vizur chukua creed aventus
 
Back
Top Bottom