Nataka kumnunulia baby wangu zawadi kwa ajili ya birthday yake. Mrembo wangu ni mpenzi wa marashi lakini uwa anajipaka very cheap perfume ambazo ukitembea hatua tano zimeshapepeluka.
Nataka nimsaplaiz na zawadi ya perfume this time.
Wataalam wa perfume naomba suggestions ni perfume gani ya kike ambayo ni classic nikimchukulia nitakata kiu yake ya kunukia vizuri.
Budget yangu ni around laki 1.5 Tshs.