Pafyumu konki kwa ajili ya zawadi kwa mwanamke mrembo

Pafyumu konki kwa ajili ya zawadi kwa mwanamke mrembo

Mchagulie kati ya hizi utamshangaza..:-
- Fame lady Gaga
-La vie est belle
-Coco mademoiselle
-Gold dust

Body oil(hii anapaka kwenye ngozi then hizo za juu anapuliza kwenye nguo)
-vanilla

NB: hizo zote ni Brand ambazo bei yake inaanzia 100 US$$ { ingawa kuna shortcut unachukua ya kupima kama upo dsm}
Nielekeze wanapimaje
 
Back
Top Bottom